Imekuaje mimba hii iwe yangu?

Imekuaje mimba hii iwe yangu?

Wakuu habar ya majukumu.

Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.

Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya ku sex aliniambia kwamba tarehe zake za kuingia period zinakaribia maana yeye huingia kati ya tarehe 11 mpaka 13 na aliniambia anasikia dalili za kuingia period any time...

Lakini baada ya ku sex siku hiyo ilipita bila kuingia period na siku zikazidi kusonga bila kuingia. Ilipofika tarehe 18 yaani siku sita baada ku sex yeye aliamua kwenda hospital kupima na baada ya hapo akaniambia kwamba amepima na amekutwa n mjamzito.

Wakuu issue hii imenichanganya na hatua ya kwanza nimekataa ujauzito huo, japo kuwa sijaenda kupima kuhakikisha kama kweli ni mjamzito lakn naona kabisa kwamba kwa tarehe zile haikua rahisi yeye kunasa mimba. Wataalam na watu wenye uzoefu na issues hizo karibuni kwa ushauri
urinary preganancy test huanza kuwa positive c chini ya wiki mbili baada ya kupata mimba.digest mwenyewe
 
Wakuu habar ya majukumu.

Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.

Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya ku sex aliniambia kwamba tarehe zake za kuingia period zinakaribia maana yeye huingia kati ya tarehe 11 mpaka 13 na aliniambia anasikia dalili za kuingia period any time...

Lakini baada ya ku sex siku hiyo ilipita bila kuingia period na siku zikazidi kusonga bila kuingia. Ilipofika tarehe 18 yaani siku sita baada ku sex yeye aliamua kwenda hospital kupima na baada ya hapo akaniambia kwamba amepima na amekutwa n mjamzito.

Wakuu issue hii imenichanganya na hatua ya kwanza nimekataa ujauzito huo, japo kuwa sijaenda kupima kuhakikisha kama kweli ni mjamzito lakn naona kabisa kwamba kwa tarehe zile haikua rahisi yeye kunasa mimba. Wataalam na watu wenye uzoefu na issues hizo karibuni kwa ushauri

Afadhali situation yako, mimi ilinitokea Dodoma tumesex leo usiku, kesho asubuhi naambiwa ana mimba yangu, cha ajabu mtoto alikuja kuzaliwa miezi mitatu baadaye baada ya tendo. Nilibakia kucheka tu.
 
Hapo unauziwa DNA ambayo haina uhusiano na ww ila pokea tu sababu ulichangia tone la sperm aka manii humo ndani.
 
Huelewi nini sasa kama ulimgegeda without kinga ulitegemea nini?tena nahisi ulitumia dog style wewe
 
Back
Top Bottom