Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

Watu hudhani singida ni mkoa wa wakristo wengi,kumbe siyo, singida waislam wengi kuliko tabora
 
Waarabu walifika uchagani mapema kuliko wamisionari wa kikristo, lakini uisilamu haukushamiri huko sababu haupatani na Nguruwe wala pombe.
Waarabu walikua wakifanya biashara tu, hawakuwa na mission ya kusambaza dini
 
Uwongo kama kawaida yenu,nitajie kanisa lililochomwa mi nitakuonesha polisi wakiua waislam mwembechai baada ya kanisa kushitaki yesu anatukanwa kwa kuitwa siyo Mungu
 
Wangoni.

Ni nadra sana kumkuta muislamu, na hata kwenye ukristo, wengi wako Roman, madhehebu mengine ni wachache sana.
Wangoni wengi tu waislam,wewe umewaona hapo kwenu wamekuja kufanya kazi, maana huko nyuma kobazi walibanwa shule hivyo na kupata kazi ngumu,unaweza dhani wanyiramba wengi wakristo kumbe siyo,kisa tu hujawahi kutana na mnyiramba kobazi
Vita ya majimaji wale wazee hapakua na mkiristo,wote kobazi,(Abdul rauf)songea mbano alikua kobazi na kiongozi hapo songea
 
Ongeza na wasandawe
 
Hv mtu anafanya biashara ya utumwa bdo anakwambia mungu ni wa haki na ww unakubali mungu wake.kwelh sisi weusi tulikuwa na shda ya akili.
kuna lile liarabu tip tipu lifanyabiashara ya utumwa, eti linamuabudu allah halafu linafanya ushenzi kwa binadamu!
 
Kwa Mjaluo (Luos) hawapo na kama utamkuta ni moja kwa laki kabisa.
 
Kuna makabila waislam ni wa kutafutwa kwa tochi ni kama hawapo. Hata miji ipo uislam ni mchache sana. Nenda kiomboi na moshi siku ya jumapili huwa pamepoa sana sehemu zenye harakati za mishemishe kama masoko na stendi shughuli nyingi hazifanyiki watu wapo ibadani. Barabara nazo huwa na magari machache, hii miji ina idadi ndogo ya misikiti kwa ajili ya wahamiaji wenye imani ya kiislam kama watumishi wa umma na raia wengine wenye mishe zao. Kukuta mnyiramba na mchaga ni muislam inashangaza kwa kuwa unyirambani na uchagani uislam haukupenya sana
 
Mama yangu ni mchaga na ni muislamu jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza
 
Watu hudhani singida ni mkoa wa wakristo wengi,kumbe siyo, singida waislam wengi kuliko tabora
hao ni wanyaturu wa kaskazini mwa singida, ilongero huko kuna waislam kwa kuwa waarabu walipitapita huko. Singida kusini waislam ni wachache. Singida mjini kwenyewe tu wakristo ni wengi kuliko waislam, angalia makanisa yanauyojaza nyomi ndio utajua wingi wao
 
Waarabu walikua wakifanya biashara tu, hawakuwa na mission ya kusambaza dini
ndio walio impose uislam kwa machifu na watemi and then zile chiefdom zao zikawa islamized na matokeo tunayaona leo walikopita waarabu
 
Uwongo kama kawaida yenu,nitajie kanisa lililochomwa mi nitakuonesha polisi wakiua waislam mwembechai baada ya kanisa kushitaki yesu anatukanwa kwa kuitwa siyo Mungu
achaga upotoshaji we mjuba, wale wa mwembechai walikuwa walevi wa uislam waliokuwa wanaharibu mali za watu kisa tu imani yao. Utaendaje kuvunja bucha za nguruwe biashara za watu? Kuna wakristo huwa hawapendi pombe lakini hawaendi kuvunja mabaa ya watu, hawavuti sigara lakini hawaendi kuharibu mashamba ya tumbaku na kuvunja kiwanda cha sigara na bia. Nyie ni wapumbavu na wajinga, dini imewalevya mpaka mnapandisha mizuka kuharibu mali za watu
 
Siku hizi weengi wameachana na hizo mila ukiacha hawa wanaotembeza viatu vya kike na mikanda na wanaolinda mageti, wengine wameamua kuacha kuvaa mashuka na kubakisha pumbu nje zikiwa wazi
nimekutana na mama mmoja akaniambia ni mmasai. Cha ajabu hana alama za kimasai, havai kimasai na ameolewa na mswahili. Kasema ameachana na mila na desuri za kimasai. Anaongea vema lugha za makabila anayoishi nayo, still ana sura na rangi ya kimasai ila hana pengo, hana ndonya mashavuni, amekuwa mswahili, ni muislam anavaa hijabu ingawa siku za karibuni ameanza kwenda kanisani na kuachana na uislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…