Ongeza na wafipa1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga
4. Wangoni
5. Wajita
6. Wagogo
Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma Mwambusi, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.
Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.
Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.
Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
Ni Wanyachusa wa Kyela hao 🤣🤣🤣🤣Kuna kabila moja hapo lina manabii wengi kushinda Israel yenyewe
Hao wakina mwa
Ndiyo mara nyingi uwa waislamu wa mchongo walio tengenezwa na serikali kwa kazi maalumu..kama sasa walivyo tengenezwa wakatoliki wa mchongo wanaofanya maandamano bila ya kupigwa risasi wala vibari na awashitakiwi na yoyote...hao mashekh wakina mwaipopo ni bidhaa za serikali siyo dini ....wapo kwa kazi maalumu.Ukimwona mnyakyusa shekhe, kuna pesa ya uhakika hasa, ameifuata. Hawaendi kwa imani, wanafuata pesa. Ni kama Mwaipopo, hakuna uislam wala ushekhe pale, alifuata pesa. Mtu anatangaza kusilimu leo, mwezi ujao anakuwa shekhe. Mwaipopo alichukuliwa wakati ule wa Mwinyi, walipoingia wale wa itikadi kali.
Wahaya, kuna maeneo kumekuwepo na waislam wengi kiasi. Wakati ule Rugambwa wa kwanza akiwa kadinali, Hemed bin Juma bin Hemed alikuwa mufti wa Tanzania, na wote walikuwa wanatoka Kagera. Mikoa ya bara karibia yote, ukiondoa mikoa kama Tabora na Kigoma iliyokuwa vituo vya waarabu kununulia watumwa, iliyobakia ina idadi ndogo ya waislam, bila ya kujali ni kabila gani.
kuna mnyiramba anaitwa juma kilimba na mchaga anaitwa abdallah tarimo, wanavaa kanzu na kibaraghashiaWapo mimi pia nilishangaa ila wapo
kama tu tunaambiwa uislam ulitengenezwa na vatican basi kwa mtindo huo serikali haishindwi kutengeneza waumini feki wa dini yoyote ikiamua kufanya hivyo kwa maslahi yakeNdiyo mara nyingi uwa waislamu wa mchongo walio tengenezwa na serikali kwa kazi maalumu..kama sasa walivyo tengenezwa wakatoliki wa mchongo wanaofanya maandamano bila ya kupigwa risasi wala vibari na awashitakiwi na yoyote...hao mashekh wakina mwaipopo ni bidhaa za serikali siyo dini ....wapo kwa kazi maalumu.
Mbona kwa tanzania imekuwa ni kawaida ...bakwata yote ipo kwa ajili ya serikali siyo dini wala uislamu na kuna mashekh wasio bakwata wengi tu ni mapandikizi ndani ya uislamu...asilimia 70 ya mashekh wakubwa tz ni mapandikizi...hata kwa wakristo mapandikizi yapo mfano mwamposa nk yaani viongozi wa dini wanao tumika kwa mlango wa NYUMA NA WAGIZA WA SERIKALIkama tu tunaambiwa uislam ulitengenezwa na vatican basi kwa mtindo huo serikali haishindwi kutengeneza waumini feki wa dini yoyote ikiamua kufanya hivyo kwa maslahi yake
Abubakar Msuyakuna mnyiramba anaitwa juma kilimba na mchaga anaitwa abdallah tarimo, wanavaa kanzu na kibaraghashia
Lengo kuu la dini na waleta (waanzisha) dini hapa duniani mathalani huku Africa ilikuwa ni kutawala (Kupitia dini mtu anakutawala kiakili(fikra(saikolojia))).1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga
4. Wangoni
5. Wajita
6. Wagogo
Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma Mwambusi, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.
Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.
Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.
Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
Kadhia ya mabucha ya nguruwe ilikua ni 1991 kipindi cha mwinyi,na ilikua kigogo siyo mwembechai,baada ya mkiristo mpumbavu kumuuzia mtoto wa kiislam nguruwe badala ya ng'ombeachaga upotoshaji we mjuba, wale wa mwembechai walikuwa walevi wa uislam waliokuwa wanaharibu mali za watu kisa tu imani yao. Utaendaje kuvunja bucha za nguruwe biashara za watu? Kuna wakristo huwa hawapendi pombe lakini hawaendi kuvunja mabaa ya watu, hawavuti sigara lakini hawaendi kuharibu mashamba ya tumbaku na kuvunja kiwanda cha sigara na bia. Nyie ni wapumbavu na wajinga, dini imewalevya mpaka mnapandisha mizuka kuharibu mali za watu
Wali impose vipi uislam kwa machifu bila mamlaka?..mkwawa alisilimu mwenyewe,ntemi wa unyanyembe alisilimu mwenyewendio walio impose uislam kwa machifu na watemi and then zile chiefdom zao zikawa islamized na matokeo tunayaona leo walikopita waarabu
Singing mjini wakristo wengi!?😃😃 Singida mjini ni mji wa wanyaturu,mapema 2000s maofisa wa serikali hawaitishi watu ijumaa sababu hakuna atakaekuja,kujaza kanisa la watu mia mbili siyo issue kwenye mji wenye watu laki kadhaahao ni wanyaturu wa kaskazini mwa singida, ilongero huko kuna waislam kwa kuwa waarabu walipitapita huko. Singida kusini waislam ni wachache. Singida mjini kwenyewe tu wakristo ni wengi kuliko waislam, angalia makanisa yanauyojaza nyomi ndio utajua wingi wao
Wangesema wasambaze dini,nchi nzima ingekua waislam, sababu walikuwepo hapa kitambo sana kabla missionary na dini ilikua uislam tuThey have always been missionery in their stupidity.
hii ndio ile dhana kwamba dola ni kubwa mpaka kwenye dini ipo! Kuna watumishi wa mungu ukiwagusa utakuwa umeigusa serikali, kumbe ni watumishi wao na ndio maana wakifa serikali kama yote hujaa misibani kwao kwa kutoa heshima za mwisho. Na hao viongozi wa dini hawataki uiseme serikali vibaya utagombana naoMbona kwa tanzania imekuwa ni kawaida ...bakwata yote ipo kwa ajili ya serikali siyo dini wala uislamu na kuna mashekh wasio bakwata wengi tu ni mapandikizi ndani ya uislamu...asilimia 70 ya mashekh wakubwa tz ni mapandikizi...hata kwa wakristo mapandikizi yapo mfano mwamposa nk yaani viongozi wa dini wanao tumika kwa mlango wa NYUMA NA WAGIZA WA SERIKALI
moshi niliona mpare mmoja akiitwa ramadhan msuyaAbubakar Msuya
AbdulAzizi Msuyamoshi niliona mpare mmoja akiitwa ramadhan msuya
shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa, vipi kuhusu yule mwislam aliyeitwa Dibagula, yeye alifanyaje na kesi yake iliishaje?Kadhia ya mabucha ya nguruwe ilikua ni 1991 kipindi cha mwinyi,na ilikua kigogo siyo mwembechai,baada ya mkiristo mpumbavu kumuuzia mtoto wa kiislam nguruwe badala ya ng'ombe
Kadhia ya mwembechai ni 1998 kipindi cha mkapa, baada ya padre kwenda kushitaki polisi /mkuu wa mkoa kuwa yesu anatukanwa
Dibagula alikua mhadhiri wa ulinganifu,akisoma biblia,alishitakiwa kwa kusema yesu siyo Mungu,alishinda kesi, maana hizo kesi za yesu siyo Mungu mlalamikaji alikua serikalishukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa, vipi kuhusu yule mwislam aliyeitwa Dibagula, yeye alifanyaje na kesi yake iliishaje?
Juma Mwambusi aliewahi kuwa kocha wa Yanga na Mbeya city ni Mnyakyusa na kwa dini ni Muislam tena swala tanoMnyakyusa kuitwa juma sio usisalamu wapp kibao afu wakristo na nadhani hata andambwile ni mkristo