Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hii imeenda...
RIP Cask
Hatuendi tena kunywa hapo. Hela nilipe mimi afu wanipangie cha KuandikaJe, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?
The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari"
The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja yoyote anayenunua vinywaji vya bei ghali
View attachment 2718063
Umeona jezi ya cdm hapoDuh.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Lager hainaga mbambamba
Ni kweli... mambo ya kuunganishwa na kesi ya msingi...Simply hawataki kujihusisha na hizi mambo.