Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?

The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari"

The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja yoyote anayenunua vinywaji vya bei ghali
F3gok2zWMBA2LEs.jpg

Hapa tutawalaumu bure lakini kiukweli ukiwa mfanya biashara ukatishiwa kidogo na unajua wanauwezo wa kukufanya chochote ili kuepuka athari ya umaskini utakubali makosa, sisi tutawatetea mitandaoni mwisho tutamwacha
 
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?

The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari"

The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja yoyote anayenunua vinywaji vya bei ghali
View attachment 2718063
Hatuendi tena kunywa hapo. Hela nilipe mimi afu wanipangie cha Kuandika
 
Back
Top Bottom