Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

Tunawakaribisha sana Wagner Africa, labda inaweza kusaidia Africa kupata uhuru wa kweli.
 
Wafanya biashara hawapo kuwafurahisha watawala
Waacheni watu wafanye shughuli zao kwa uhuru
Tanzania ni nyumbani kwetu sote
Ipo siku moto utawaka
 
Wafanya biashara hawapo kuwafurahisha watawala
Waacheni watu wafanye shughuli zao kwa uhuru
Tanzania ni nyumbani kwetu sote
Ipo siku moto utawaka
Hapo bango lingeandikwa kumsifia

Mama tu [emoji1]

Ova
 
Attachments

  • 467202EB-7D1D-486D-A232-95408695F758.jpeg
    35.5 KB · Views: 3
Hapa tutawalaumu bure lakini kiukweli ukiwa mfanya biashara ukatishiwa kidogo na unajua wanauwezo wa kukufanya chochote ili kuepuka athari ya umaskini utakubali makosa, sisi tutawatetea mitandaoni mwisho tutamwacha

Duniani kote, huwezi pambana na serikali yako. Siku zote "never fight with your government".
 
Duniani kote, huwezi pambana na serikali yako. Siku zote "never fight with your government".
Did you mean "..... never fight against your government" au ndo iko hivyo ilivyo.

The fight against your government ni possible, but your winning odds zinakuweka mbali na ushindi.
 
Duniani kote, huwezi pambana na serikali yako. Siku zote "never fight with your government".
Hapo hakupambana na serikali, sema serikali wanazingua mbona bango lilikuwa halina tatizo, hata lingukuwa na tatizo kwanini wasimfate mteja? sasa athari za kufunga bar zitakuwa kubwa kuazinzia mapato hadi kwenye familia
 
Did you mean "..... never fight against your government" au ndo iko hivyo ilivyo.

The fight against your government ni possible, but your winning odds zinakuweka mbali na ushindi.
All are correct answerz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…