Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Tunawakaribisha sana Wagner Africa, labda inaweza kusaidia Africa kupata uhuru wa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bango lingeandikwa kumsifiaWafanya biashara hawapo kuwafurahisha watawala
Waacheni watu wafanye shughuli zao kwa uhuru
Tanzania ni nyumbani kwetu sote
Ipo siku moto utawaka
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?
The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe uliosomeka "Okoa Bandari"
The Cask wameomba radhi kwa tukio hilo na kusema kuwa banner yao hutumika na mteja yoyote anayenunua vinywaji vya bei ghali
View attachment 2718063
Hapa tutawalaumu bure lakini kiukweli ukiwa mfanya biashara ukatishiwa kidogo na unajua wanauwezo wa kukufanya chochote ili kuepuka athari ya umaskini utakubali makosa, sisi tutawatetea mitandaoni mwisho tutamwacha
Did you mean "..... never fight against your government" au ndo iko hivyo ilivyo.Duniani kote, huwezi pambana na serikali yako. Siku zote "never fight with your government".
Hapo hakupambana na serikali, sema serikali wanazingua mbona bango lilikuwa halina tatizo, hata lingukuwa na tatizo kwanini wasimfate mteja? sasa athari za kufunga bar zitakuwa kubwa kuazinzia mapato hadi kwenye familiaDuniani kote, huwezi pambana na serikali yako. Siku zote "never fight with your government".
All are correct answerzDid you mean "..... never fight against your government" au ndo iko hivyo ilivyo.
The fight against your government ni possible, but your winning odds zinakuweka mbali na ushindi.