Imenibidi...

Penzi la kweli adimu dunia ya leo, ila inabidi uwe makini usije ukapata mimba ya bf halafu ukampachikia mumeo.
Tena kama ulikuwepo ndanii ya akili yangu dear, akizubaa anabandikiwa tuu. Atakapokuja kundua am already too far. Am cheating i cannot do that...i am a human being too, nanisingependa more problems. Ntazaa tuu na Mr. wangu na tutabanana hapa hapa naye. Pengine awalete hao wanawake ndani...hapo tena sina budi nikusepa tuu.
 
Penzi la kweli adimu dunia ya leo, ila inabidi uwe makini usije ukapata mimba ya bf halafu ukampachikia mumeo.

Kusema ukweli kwa kulinda heshima ya jamvi letu,ndoa nyingi ziko ICU kama si motuary kabisa. Mahusiano mengi yanayodumu bila taabu ni yale ambayo watu hawakufunga ndoa rasmi. Utakuta mtu anaishi na mwenzake miaka lundo bila kuhalalisha (bila kulazimishwa na taratibu za kizungu) kwa raha msatarehe. Siku ya tifu kila mtu kwao finito.
 
Mrs Mtaba,
you are making mistakes IF YOU CAN'T FORGIVE AND FORGET!kama wewe ni mcha-mungu walau kidogo jaribu kufikiri maisha yangekuwa vipi kama mungu asingekusamehe dhambi na udhaifu wako?
 
...hii ngoja nim printie mamsapu wangu, kila akitaka kwenda saloon namtolea hii... 😀
 
...hii ngoja nim printie mamsapu wangu, kila akitaka kwenda saloon namtolea hii... 😀
Angalia usije ukawa unamuamsha aliye lala! sijaandika hapa iwe kama reference. Fatilia na upate information full, yawezekana naye anajiuliza niwapi anaweza kumegwa bila ya ww kujua akawa hajui...so utakuwa umempa akili mwanangu mwenyewe. Tuliza ball, mambo ya jamvini uayaache humu humu. Hizo ni kama formula ya kupigia mahesabu yako. lol!
 
Natufuta ile thread uliyoanzisha....kuomba ushauri wa kumegwa nje....huko Scandnavia.....nione tuliconclude vipi.......!
 
Mrs Mtaba,

Je, baada ya kumpa Mr wako evidence zote kwamba ana cheat na sugar mummy wake wa zamani, yeye alisema ni nini kiimfanya akarudiana nae? Hujamridhisha? Alipitiw na shetani as usual ama ni nini?

Je, alipokuomba msamaha na ukamsamehe, ameendelea kummega huyo mama au wameachana kabisa?
 
Mrs Mtaba,
Can we discuss the situation of not having a baibe in u r marriage?
 
The risk of HIV infection is exponentially proportional to the number of partners involved in this chain.

Mkuu Bluray,

There you are!!!! unless this is just an hypothetic case.

Tiba
 
Natufuta ile thread uliyoanzisha....kuomba ushauri wa kumegwa nje....huko Scandnavia.....nione tuliconclude vipi.......!

I'm back...angalia hii hapo chini......! .....Bibie wewe ulishadhamiria na ulikuwa unamegwa toka long time na hilo buzi....hapa watafuta justification tu.......Lol!

...'maisha ndivyo yalivyo!'

...Ila una Jazba sana katika hili, angalia usije ukawa umejiingiza mtegoni kama dalili zinavyojionyesha...🙂

Maamuzi ya 'hasira' mara nyingi 'hasara' zake ni za maisha.
All the best though...
 
Asanteni wachangiaji wote, jibu nimeshalipata. All the best and have good life all people.
 
I'm back...angalia hii hapo chini......! .....Bibie wewe ulishadhamiria na ulikuwa unamegwa toka long time na hilo buzi....hapa watafuta justification tu.......Lol!

It's all about the future na Mrs. yupo hapa kutafuta nasaha za jinsi ya kukabiliana na kumudu mustakabali wa maisha yake. Hakuna haja wala sababu ya msingi kuchimbua yaliyopita.
 
Mrs Mtaba,
Can we discuss the situation of not having a baibe in u r marriage?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…