Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Ooohh my God!!
Mrs Mtaba, kwanza kabisa futa hiyo Mrs. Mtaba weka tu jina lako lolote, do not insult your status like that.
Pili wewe dada, after two year you have already stsrted something that will be there for rest of your life, cheated, he has done this and its a mistake, but doing it add nothing but shame to both ya... they say two wrongs wont make it right!!! You have just made it worse
Worse enough, you have come out here to share your low morals... what were you thinking?? kuja hapamkuleta upupu???
There is a movie called "Burning Bridges" - you need to watch it and mama alikuwa akimwambia bintiye aliyeolewa na aka-cheat, akasema usije ukasema haya unayoyafanya!!! Lie!!! If you take time to think about it, you would never post such a confession here
Kuna kitu ntasema kesho halafu usijisikie vibaya
Umedhalilisha wanawake wenzako humu kwa kuweka mapungufu yako jamvini, a woman is more than noble, look what you have done now!!! degrading other women too
Nakuhurumia kwa kujiweka doa, lakini simhurumii jamaa kwani he must have known this would come... ask me why!!