Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Wanaume wa dar wamekukosea nini shemeji yangu???
Na ulienda dar kufanya nini si ungebaki tuu Mwanza jamani [emoji6][emoji6] kakaako kakusoma kamind balaah, kasema ukija dar usifike tena nyumbani kwetu.
 
Hahahahaa shemu acha bas hii id yangu mpya haijui

Nilikuwa nimeagizwa na mshua shem wangu
 
Wapo watu wanashindia kahawa nini biskuti..... huwa nashangaa sana bola ufunge tu ijulikan jioni ufuturu
 
Kamuulize mshua aliyekuwezesha kuyaona haya Ana majibu zaidi
 
Wapo watu wanashindia kahawa nini biskuti..... huwa nashangaa sana bola ufunge tu ijulikan jioni ufuturu
Hahaaaa wanashangaza sana hawa watu mkuu afu ukiwambia wanatokwa povu baraa
 
Haya maneno yakiongelewa mkumbuke sio wote wako hivyo, kuna wengine sawa tunakula biskuti lakini hatujaribiwi, "asili haipotei"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…