Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa shemu acha bas hii id yangu mpya haijuiWanaume wa dar wamekukosea nini shemeji yangu???
Na ulienda dar kufanya nini si ungebaki tuu Mwanza jamani [emoji6][emoji6] kakaako kakusoma kamind balaah, kasema ukija dar usifike tena nyumbani kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaa shemu acha bas hii id yangu mpya haijui
Nilikuwa nimeagizwa na mshua shem wangu
Kamuulize mshua aliyekuwezesha kuyaona haya Ana majibu zaidiAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Niko hapa dar nimeagizwa vitu kazaa na mshua mara yangu ya mwisho kufika hapa ilikuwa mwaka jana
Mwaka jana nilibaki hoi sana baada ya kufika na kuwaona wanaume waliovaa vinguo vya kubana mapaja kama zile wanazovaa dada zetu, sio hivyo tu nilikuwa nikiwaona wamejikusanya sehemu wanakula vitu vinavyoitwa chips nilishangaa sana kwakweli
Sasa leo ndo nimeshangaa zaid baada ya kuona siku hiz hawali tena chips wanashindia biskuti na azam cola, nimesikitika sana kwakweli aisee
Kwahiyo enyi wanaume wa dar mumetoka kwenye ulaji wa chips na mumehamia kwenye biskut
Ndo maana wanawake wa dar hawaish kulia lia kutolizishwa na wanaume wao
Mnashindia biskut aisee mumeniacha hoi sana
LONDON BABY
Au karanga akila vifuko vi2 na maji imetoka , apo sasa nguvu za kiume utapata wapiHahaaaa wanashangaza sana hawa watu mkuu afu ukiwambia wanatokwa povu baraa
Nawe si ni Wa dar piaKashifa nzito sana hizi
Lakn na wewe si mwanamke wa Dar?Nawe si ni Wa dar pia
Mi wa dar, biskuti nakula na bado natoa shoo za kibabe.Oky bas sawa we kazana na biskut zako