Imeniuma sana

hehehehe!
nafanya liheso homuboi!....btw,mabadiliko makubwa yanafanyika chawote!.....

Daaah siku ile nilikatwa stimu sana mzee, nilikiwa na ndinga ya ofcn na der, kamwambia ukifika maeneo ya Chawote....please kula breeeeak...mi tumbo litakuwa limeshaanza kuuma......and he did the needful.....bt kuingia kule....ha!ha!haaaa!haaa!
 
kunyenyekea kwa mwanamke ni haki ya mwanaume ya kuzaliwa. haipaswi kuhojiwa na mamlaka yoyoyte.

halafu hizo nyau zako, nadhani hujakutana na wakurya orijino wewe...............! hawatishiwi nyau wale!!!!!!!
mbavu zangu jamani!....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kunyenyekea kwa mwanamke ni haki ya mwanaume ya kuzaliwa. haipaswi kuhojiwa na mamlaka yoyoyte.

halafu hizo nyau zako, nadhani hujakutana na wakurya orijino wewe...............! hawatishiwi nyau wale!!!!!!!

Mpendwa Akili Kichwani
wanawake wa aina hiyo unaowataka wewe wapo ila tu usiwatibue sie wote tu wanyenyekevu wazuri sana. Hata huyo aliyepigwa ni mnyenyekevu sana tu na ndo maana akaolewa yeye but huwa mnayotufanyia sometimes yanavuka mipaka tunajikuta tu tumechoka na kuyapandisha mashetani yetu ambayo tumekuwa tukiyasupress kwa muda mrefu tu. Na mpaka mwanamke akucharukie basi kuna mengi umemfanyia sasa anasema enough is enough!!

Jamani hebu treat us like queens so that we make you our kings if not princes bana!!
 
I am so sick of this hadi hapa nilipokaa nasikia kichefuchefu.why are men so selfish? why, always, sisi hatupendi kufokewa, tunapenda kubembelezwa, kwani wanawake si watu wenye feelings? nao wanapenda kubembelezwa na kunyenyekewa the same. yani ufanye upuuzi halafu nikubembeleze kisa ndoa,si acha ikae? do you guys do the same? au nyie ni first class citizen na ladies ni second? Its high time men should change this mentality, you are dealing with human beings, with a heart of flesh. c'mon!
 
me!!! nimlilie??????naumwa,yani aniletee magonjwa,dharau,aibu,unyanyasaji zen nimlilie?you cnt be serious dude!!!!!!!!WE ARE YOUR MOTHERS,mnatakiwa mtuheshimu na kutupenda thas wat the baibo says!!!!!!!!shame on you few bull dogs men.
Quote:

na sisi pia ni baba zenu na vidume wenu, mnapaswa kutupenda na kutulilia kama mnavyomlilia Mungu na ndivyo biblia inavyosema. yaani hata hamuoni aibu mwanamke na ngumi wapi na wapi, bebeni chuma basi mtengeneze misuli !!!!!!!!!,

mwanamke ana-command respect kwa feminine behaviour siyo kwa utyson ambao kimsingi hawezi kuumudu, hicho kichapo alichotoa broda kimepeleka salaam muafaka!!!!!!!!! safi naaaaa.
 

Here I rest my case.
 
Dah nna wasiwasi na button za key board yako kama bado zipo salama!!
 
basi basi mama!
punguza mizuka usije ukapasua laptop ya watu hapo ofisini!
....πŸ˜€πŸ˜€
 
Do u real no wat ur toking about?Seems ur a single parent tena ulilelewa na baba,SOMETIMES ITS BETA SAID WEN NOTHING IS SAID AT ALL.
 
Jamani mie leo kiti cha moto hakikaliki kabisa, nahisi kama presha inanishuka ati.

Umenikumbusha mwali wangu mmoja alikuwa analala na kisu chini ya mto- ilibidi mume mwenyewe akakiri tena kwa mchungaji ndo bibie akaitwa kwenda kuyasawazisha.
Thats what am talking about! Lazima ukae tayari tayari wakati wote. Kama una mume anayeshiondwa kupigana na wanaume wenzie huko mitaani hata kama wakimtusi badakla yake anakuja kujipima nguvu kwa mkewe hakuna haja ya kuvumilia hadi utoke kilema au upoteze mtoto au ufe kabisa. ni kumpa naye unforgetable moja tu na then adabu itamjia, either mkubaliane muanze kuishi kwa kuheshimiana au mkoll it quit.
 

at last sasa unaongea vizuri, unadhani ukiongea hivi hata kama nimekasirika kiasi gani naweza kweli kunyoosha mkono wangu kukupiga, aaah, nitaishia tu kusema sweetie, angaliangalia vipi tutoke leo si unajua tangu enzi zile za bibi kigomaaaaaa, .............aaaah, bana na wewe hutaniwi? basi nisamehe switie, sometimes nakupendaga ila huwa hujui tu, mie hata unibebeshe migunia ya kuniangusha nitajitahidi japo nikurushie kabusu hata kamoja tu kabla sijaanguka................. aaah..............aaah................ kisha nakuvutia chumbani, tunasawazisha kiutu uzima, si unaona sasa? hakua cha hospitali wala machela!!!!
 
basi basi mama!
punguza mizuka usije ukapasua laptop ya watu hapo ofisini!
....πŸ˜€πŸ˜€
kama vile umenisoma G, am so angry na ukichangia nina vistress vya hapa na pale vya kuokosa beki tatu n so i have to come with my baby to wok, am so restlless in such a way am taking this personal. I think i need a break, may be some water will do.
But to be honest huyu akili kichwani na mtazamo wake, he puts me off! lert me take a break, naweza kupata pressure hapa hapa. sorry guys!
 
Do u real no wat ur toking about?Seems ur a single parent tena ulilelewa na baba,SOMETIMES ITS BETA SAID WEN NOTHING IS SAID AT ALL.
...πŸ˜€πŸ˜€
wa-beijing leo mmekuwa wakali kweli
 

ukitaka kubembelezwa, anza wewe kubembeleza uone masunami ya kubembeleza ya mwanume, hata hata ahadi ya kununuliwandege utapewa ili unyamaze tu mpendwa, upo??
 
pumzika kidogo mama!...
kuhusu beki tatu nitaliangalia swala lako ninaelekea unyaluni next week kwa ajili ya projekti...!kwakuwa kule ndiko chimbuko la mabeki-tatu nitajaribu kukutafutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…