Imeniuma sana

Mdada geti weli suni..
Ila Men lets change ubabe wa kupitiliza sio.
 
Pole mpenzi yaani natamani ningesomea uandishi wa habari yaani hii movie ningeifuatilia hadi mwisho!! jamaa ndo kaua kiumbe chake!! Naikumbuka ile thread ya Geoff kama sikosei ile ya heshima kwa wanawake!

Don't tell me the woman has got a miscarriage baada ya kupigwa!!!!
 
my han...can u imagine laaziz, mama babra amenical ananiambia amezinduka lakini bado ana wenge wenge....natamani nipae nifike haraka..

Pole laaziz!! Ila hizi simu nazo jamani khaah! Zinataka kuwa chanzo kikubwa sana cha kuvunja mahusiano! Tujaribu kuyashinda majaribu ya kupekua pekua simu za wenzi wetu!
 
Don't tell me the woman has got a miscarriage baada ya kupigwa!!!!
mpenzi wangu Masaki nakujua ulivyo mvivu wa kusoma hadithi ndefu- ndio alikuwa na mimba ya miezi mi4 na imetoka baada ya kipigo. Nitakushikia fimbo!
 
mpenzi wangu Masaki nakujua ulivyo mvivu wa kusoma hadithi ndefu- ndio alikuwa na mimba ya miezi mi4 na imetoka baada ya kipigo. Nitakushikia fimbo!

Nisamehe bure, nilikuwa busy kutafuta unga wa Junior, sasa nimekuta thread imeshika kasi na iko mbali, nimeshindwa ku-catch up....nikaamua kudandia treni kwa mbele..!!! 🙂

Sasa nimeelewa kinachoendelea!
 
wat?may ze bby soul rest in peace,so sorry ,dnt want it any mo.
"mpenzi wangu Masaki nakujua ulivyo mvivu wa kusoma hadithi ndefu- ndio alikuwa na mimba ya miezi mi4 na imetoka baada ya kipigo. Nitakushikia fimbo!"
 
Pole mpenzi yaani natamani ningesomea uandishi wa habari yaani hii movie ningeifuatilia hadi mwisho!! jamaa ndo kaua kiumbe chake!! Naikumbuka ile thread ya Geoff kama sikosei ile ya heshima kwa wanawake!

kwa akili yangu mie huyu mume nicngemuhitaji tena tena, ngoja apate nafuu 2jue muelekeo wake na ndoa yake, nicngemuhitaji zaidi hapo aliponifanyia hicho kitendo na kutoweka, hapo ni pagumu kupakubali...
 
It needs two to tangle, babaangu. Wewe unayafanya hata robo yake au unatengeneza tu expectations from her without yourself producing any? One thing you should know ni kwamba, mwanamke naye ameumbwa kwa nyama na ana feelings kama zako. Ukilielewa hilo tu, mtaheshimiana na hizo expectations zote utaziona in reality baba. Hata sisi tunapenda kweli kubembelezwa. Yaani mimi tu ndio niwe jalala la kubembeleza, nibembeleze wazazi wako, dada zako, kaka zako, wewe mwenyewe in short ukoo wako wote, mwenyewe nikajibembeleze usiku kwa machozi! Aah baba, wapi na wapi.
 
kwa akili yangu mie huyu mume nicngemuhitaji tena tena, ngoja apate nafuu 2jue muelekeo wake na ndoa yake, nicngemuhitaji zaidi hapo aliponifanyia hicho kitendo na kutoweka, hapo ni pagumu kupakubali...

Ina maana mpaka sasa hamjui aliko na wala hana taarifa kwamba mkewe mimba imeharibika kwa kipigo alichompa? Yaani hapo lazima yuko kwa huyo ''my hun'' wake hakuna kwingine!
 
Ina maana mpaka sasa hamjui aliko na wala hana taarifa kwamba mkewe mimba imeharibika kwa kipigo alichompa? Yaani hapo lazima yuko kwa huyo ''my hun'' wake hakuna kwingine!
Angekuwa mhehe wa Iringa ningesema labda kenda jitundika akidhani keshaua mke but msukuma??? Hata sijui niseme yuko wapi
 
Post zako nilikuwa nasoma huku nimekunja ndita, hapa nimeishia kucheka tu....wanawake, kweli tuna shida, na mwalimu wetu ni kipofu! si ajabu baada ya kuambiwa upupu huu na bado mdada atasamehe. Akili kichwani, ndio ungekuwa mwenza wangu, huko barabarani watu wangekuwa wanatutambua kwa idadi ya nundu na makovu yetu!
 
Dina maneno yako yamenichoma sana.....mana kwenye hizi ndoa zetu hao wote inabidi uwapetipeti bila hivyo ni kupewa lawama huipendi familia yake, jamani tuna kazi kubwa.
 
Angekuwa mhehe wa Iringa ningesema labda kenda jitundika akidhani keshaua mke but msukuma??? Hata sijui niseme yuko wapi

Umesahau kwamba ugomvi umeanzia supermarket alikokuwa ananunua vitu vya kupeleka nyumba ndogo? Kwa hiyo baada ya kumtwanga mkewe akaenda nyumba ndogo kupeleka vile vitu na kumsimulia yaliyotokea!

Huwezi kujua, pengine alishatoa ahadi kwa nyumba ndogo kwamba anamtafutia sababu mkewe waachane ili ahamie huko moja kwa moja! Ila huyo nyumba ndogo naye atakufa mdogo wazi kwa kuiba mume wa mwenzie, malipo ni hapa hapa duniani.......!!!
 
Ina maana mpaka sasa hamjui aliko na wala hana taarifa kwamba mkewe mimba imeharibika kwa kipigo alichompa? Yaani hapo lazima yuko kwa huyo ''my hun'' wake hakuna kwingine!

laazizi...hiyo juzi alivyomtwanga na kujiondokea ndio hajarudi hadi leo hii, na hajulikani alipo, co ofcn wala wapi...cjui katowekea wapi, moshi yenyewe ndogo anipe muda nimalizane na hosp nitamsagura soweto nzima kwa kushirikiana na mfanyakazi mwenzake huyu frnd wangu.
 
Dina maneno yako yamenichoma sana.....mana kwenye hizi ndoa zetu hao wote inabidi uwapetipeti bila hivyo ni kupewa lawama huipendi familia yake, jamani tuna kazi kubwa.

Laaziz na yeye pia si anatakiwa aipende familia yako pia? Its a give and take situation, you can not eat your cake and still have it!
 
Masaki hapo kwenye red utanifanya niwe nakagua midomo ya maiti micbani ah. Ila siku hizi wanatuziba na superglue so si rahisi uone mdomo kama u wazi au lah
 
Laaziz na yeye pia si anatakiwa aipende familia yako pia? Its a give and take situation, you can not eat your cake and still have it!

laaziz unajua asilimia kubwa ya ndugu za mume wana gubu, yaani ucpocmama kidete wanakukalia wote bado mambo mengine magumu kama haya utapitie, bado mambo ya watoto cjui na nini na nini, nackia kupiga yowe vilee...
 
Sasa wengine tukisema hatuoi utatulaumu?

Sasa mie ambaye sioi na huyu aliyeoa lakini mshenzi hivi nani bora?
 
Heeeh Laaziz mbona unanishtua!! Kumbe ni Moshi, huyo Msukuma mwenzangu namuonea huruma, haiwezekani hata kazini akawa haonekani!

Usikute kakutana na nyumba ndogo ya kutokea Tanga akili zikamruka. 🙂Kama hata ofisini hajaonekana basi si ajabu nguo zake zimelowekwa.
Halafu kavalishwa khanga moja tu imeandika..''Hodi hodi mpenzi fungua mlango wa mapenzi''. Vitu vingine sio vya kuonja onja jamani tujihadhari!
 
Laaziz na yeye pia si anatakiwa aipende familia yako pia? Its a give and take situation, you can not eat your cake and still have it!

Wanaume wanajisahaulisha, unaweza upite mwaka mama yako (mwanamke) hajaulizwa hali! Mwenye mama (mwanamke) usipompelekea kitenge, mama ameumbuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…