Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mpenzi yaani natamani ningesomea uandishi wa habari yaani hii movie ningeifuatilia hadi mwisho!! jamaa ndo kaua kiumbe chake!! Naikumbuka ile thread ya Geoff kama sikosei ile ya heshima kwa wanawake!
my han...can u imagine laaziz, mama babra amenical ananiambia amezinduka lakini bado ana wenge wenge....natamani nipae nifike haraka..
mpenzi wangu Masaki nakujua ulivyo mvivu wa kusoma hadithi ndefu- ndio alikuwa na mimba ya miezi mi4 na imetoka baada ya kipigo. Nitakushikia fimbo!Don't tell me the woman has got a miscarriage baada ya kupigwa!!!!
mpenzi wangu Masaki nakujua ulivyo mvivu wa kusoma hadithi ndefu- ndio alikuwa na mimba ya miezi mi4 na imetoka baada ya kipigo. Nitakushikia fimbo!
Pole mpenzi yaani natamani ningesomea uandishi wa habari yaani hii movie ningeifuatilia hadi mwisho!! jamaa ndo kaua kiumbe chake!! Naikumbuka ile thread ya Geoff kama sikosei ile ya heshima kwa wanawake!
Akili Kichwani;
Hapo kny blue......ubarikiwe, ni message nzuri sana kwa wanandoa wanaopenda ndoa zao zidumu......! Watu watakubishia hapa tu, bt that's is the fact, wanaume tuliowengi (including me), tunapenda mwanamke akufanyie hivyo! Hatupendi (tulio wengi) kufokewa na mke, tunataka kubembelezwa zaidi.......!
kwa akili yangu mie huyu mume nicngemuhitaji tena tena, ngoja apate nafuu 2jue muelekeo wake na ndoa yake, nicngemuhitaji zaidi hapo aliponifanyia hicho kitendo na kutoweka, hapo ni pagumu kupakubali...
Angekuwa mhehe wa Iringa ningesema labda kenda jitundika akidhani keshaua mke but msukuma??? Hata sijui niseme yuko wapiIna maana mpaka sasa hamjui aliko na wala hana taarifa kwamba mkewe mimba imeharibika kwa kipigo alichompa? Yaani hapo lazima yuko kwa huyo ''my hun'' wake hakuna kwingine!
dah, mambo yanaanza kunoga mpenzi..............
hapo mwishoni mie sitasema "...navaa condom mbili...." hapana nitaapa kuwa kuanzia leo yule nyani bizaini sitaki hata kuiona sura yake, ukitaka mpenzi tupange nikuonyeshe umfunze adabu aache kupenda vya wenzie. hatujui yule tumetoka mbali mi na wewe, lakini dia na wewe punguza wivu, yaani ulinitizama jicho hilo mpaka nikaogopa! utadhani uliataka kunimeza!....... ndio maana nakupenda, ngawala ya maisha yangu, hata mawimbi yvume makubwa kiasi gani, sisi tunapeta tu baharini, mwe.... i alwayz thank God for you dia
It needs two to tangle, babaangu. Wewe unayafanya hata robo yake au unatengeneza tu expectations from her without yourself producing any? One thing you should know ni kwamba, mwanamke naye ameumbwa kwa nyama na ana feelings kama zako. Ukilielewa hilo tu, mtaheshimiana na hizo expectations zote utaziona in reality baba. Hata sisi tunapenda kweli kubembelezwa. Yaani mimi tu ndio niwe jalala la kubembeleza, nibembeleze wazazi wako, dada zako, kaka zako, wewe mwenyewe in short ukoo wako wote, mwenyewe nikajibembeleze usiku kwa machozi! Aah baba, wapi na wapi.
Angekuwa mhehe wa Iringa ningesema labda kenda jitundika akidhani keshaua mke but msukuma??? Hata sijui niseme yuko wapi
Ina maana mpaka sasa hamjui aliko na wala hana taarifa kwamba mkewe mimba imeharibika kwa kipigo alichompa? Yaani hapo lazima yuko kwa huyo ''my hun'' wake hakuna kwingine!
Dina maneno yako yamenichoma sana.....mana kwenye hizi ndoa zetu hao wote inabidi uwapetipeti bila hivyo ni kupewa lawama huipendi familia yake, jamani tuna kazi kubwa.
Umesahau kwamba ugomvi umeanzia supermarket alikokuwa ananunua vitu vya kupeleka nyumba ndogo? Kwa hiyo baada ya kumtwanga mkewe akaenda nyumba ndogo kupeleka vile vitu na kumsimulia yaliyotokea!
Huwezi kujua, pengine alishatoa ahadi kwa nyumba ndogo kwamba anamtafutia sababu mkewe waachane ili ahamie huko moja kwa moja! Ila huyo nyumba ndogo naye atakufa mdomo wazi kwa kuiba mume wa mwenzie, malipo ni hapa hapa duniani.......!!!
Laaziz na yeye pia si anatakiwa aipende familia yako pia? Its a give and take situation, you can not eat your cake and still have it!
laazizi...hiyo juzi alivyomtwanga na kujiondokea ndio hajarudi hadi leo hii, na hajulikani alipo, co ofcn wala wapi...cjui katowekea wapi, moshi yenyewe ndogo anipe muda nimalizane na hosp nitamsagura soweto nzima kwa kushirikiana na mfanyakazi mwenzake huyu frnd wangu.
Laaziz na yeye pia si anatakiwa aipende familia yako pia? Its a give and take situation, you can not eat your cake and still have it!