Imeniuma sana

Napata hisia kwamba ndoa ilikua ya kung'ang'aniza....so girls don force your ways into marriage....let the act be mutual.

ndoa haikuwa ya kunga'ang'aniza kabisa, tena wakati huo jamaa wacha tu cna la kumuelezea, ukiambiwa ndio huyu sasa hivi mweh....6yrs kwenye ndoa.
 
Mungu anajua kashkash za aina hii zinawapataka wanyonge, yani wanawake wenye adabu zao za ukweli na beliefs in respet for husbands. Bado tu hajatafuta arrest warrant? angekuwa kafa ungeona jamaa anatafutwa sasa hivi lakini kwa kua kaponea puchu puchu jamaa yuko free anakula gutime kwa kimada wake.
 
I probably need to repeat that tutorial on "How to Cheat Successfully".. look like somebody missed the class. It will be purely theoretical. ... kabla sijaparuriwa.
 

Mkuu naona umekwenda mbali kupita maelezo.....silence means a lot! Mtu wako akishaona umekuwa silent kwenye issue ya msingi anajua umekosa na anatambua umejutia kosa lako......wala haihitaji kuanza kupigizana makelele. Mwisho wa makelele ni vurugu kama hii iliyotokea.

Life katika nyumba sio mashindano......dereva mzuri ni yule anayekwepa ajali....sio kwa vile mwenzio anamakosa basi usababishe ajali (yaani aone kwa vile jamaa kamega basi na mimi nimegwe)...it doesn't make sense
 

mkuu katoa onyo la nguu! na akome akomae kugusa vya mume akidhani vyake.

kosa lake ni kugusa simu ya mzee bila ruhusa. kwa kweli hata miye demu likirogwa likagusa simu yangu, naua mtu!!!!!!!

unajua wanawake wakiona wameolewa wanajisikiaaaaaaa, sasa tuombe Mungu atoke hospitali salama na atakuwa ameshka adabu ya mbwa mwizi
 
Haaa haaaaaaaa. Men, men, men! you will never cease to amaze me.
Yew it does! si na yeye anakuwa kakoseas kama wewe inabidi usamehe au?
 


natamani nimuone, yaani natamani kweli na ile kuniitaga wife wife....nyoooo
 


hao ni wanawake wa type zako....
 
Kazi kwelikweli......ila kwa wewe ni "Demu" kwa mwenzako alikua ni Mume!!
 

ah, huyu naye katoka wapi? yani hata maneno yako yanaonyesha kichwani hata hiyo akili hamna. nalihurumia hilo lidemu lako
 
yaani cjui ni nini juzi hiyo kimemuingia frnd wangu, sasa na huyu mume kama anajiamini kweli kwanini hajulikani alipo, sio job/home wala fone haipatikani, c aje bac a face tatizo?

We Babra una leta mchezo eeh!

Huko aliko anatweta jasho mpaka kunako! Ukidume wote umemwisha na vijihasira vya kufojia hana tena; amebaki anajilumu kama hayawani!

Majuto mjukuu na Hasira hasara!
 

too terrible......inawezekana kuna mengi yalikuwa yamejilimbikiza
 
Duh!! Babra pole na maswaibu ya rafiki yako, kumbe na Wasukuma wamo ngoja nishtuke mapema.
 

No way mkuu; kuna action we have to be silent but not on this Man; Na kama ulivyosema Silence means alot It can mean anything! How do you tell kuwa umesamehewa na yeye anajihakikishieje kuwa umejutia action yako na hutarudia hilo kosa; unless hiyo isiwe mara ya kwanza kwa maana amezoea kukutana nazo; don't take this lightly Chief!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…