Imeniuma sana

Imeniuma sana

Akili kichwani na mwanaume mwenye akili kichwani angekubali kosa na kuomba msamaha na kama mwanamke bado anaongea mume alipaswa kukaa kimya au kuondoka akisubiri hasira ya bibie ipoe. Lakini kumpiga ni under-low kabisa kwani mwanamke yule kakosewa na kusema ni haki yake- mie ningemtoa sikio kwa meno au ningekamata yale mahang-over yake aende akakandwe huko huko kwa hawara yake.

unafikiri mwenzio hakufanya hivyo unavyosema? si ndio mnavyodanganyanaga kwenye kicheni pati? alikutana na mwanaume wa shoka ndio maana sasa yuko hospital na mwenzie anapata supu kwa small house.

sina ugomvi na wanawake lakini messege yangu ni kwa wanawake wanapaswa kuwa wanyenyekevu, huo usawa mnaotafuta hadi mnafokea waume zenu ndio unaowaponza na vipigo kama hivyo. jinyenyekeze na ikibidi lia, umlilie, ndio wanaume wanavyotaka, sio ufungulie kiredio chako mkulima umnanga mzee! shame on you women stereos
 
Inakuwaje kama hii sms ilikuwa ndo toka kwa xg/f wa huyo jamaa ambae alikuwa nae kabla ya huyo wife? Si mnajua mahawala iwa hawaachani kamwe wataendelea kumegana.

kwa hiyo kama ilitoka huko haitakiwi kuhojiwa? kwanini hakumuoa huyo x bac.
 
MJ1 ucnichekeshe bwana...

Kwa afya yako mpenzi hawa viumbe hawa wanawezakutia ukichaa ati- nenda kwenye forum ya Harusi Yangu yaani unawezaua mtu kwa kweli na kuingiza sumu rohoni. Mi nimechoka kabisa na nadhani hii likizo yangu itakuwa ndefu saaaaana tu.
 
............😀😀
nasikitika sana kwanin hatukuonana siku ile!natamani nikuone
 
unafikiri mwenzio hakufanya hivyo unavyosema? si ndio mnavyodanganyanaga kwenye kicheni pati? alikutana na mwanaume wa shoka ndio maana sasa yuko hospital na mwenzie anapata supu kwa small house.

sina ugomvi na wanawake lakini messege yangu ni kwa wanawake wanapaswa kuwa wanyenyekevu, huo usawa mnaotafuta hadi mnafokea waume zenu ndio unaowaponza na vipigo kama hivyo. jinyenyekeze na ikibidi lia, umlilie, ndio wanaume wanavyotaka, sio ufungulie kiredio chako mkulima umnanga mzee! shame on you women stereos

Ah kwa hiyo ukimkuta na kosa unamwambia ' sweetie mbona nimekuta una sms ya mapenzi toka kwa mwingine? si vizuri mpenzi wangu twende basi ndani nikakupe...?" Nyambafu

Zama za wanaume wajinga zimeshafikia ukingoni kama hamtaki kuoa muache sio mnaingilia nyanja msizoziweza.

Kwanza mwanaume gani anayepiga mwanamke? Kama una hasira katafute bondia upigane naye- uonevu tu!!
 
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari akasema ngoja niperuzi akakutana na msg ya kwanza kutoka kwa "my han' ndivyo ilivyoseviwa hivyo na msg ilkuwa inasema "my han naomba ukija upitie supermarket unichukulie vitu vya ndani vimeniishia".....mr karudi kwenye gari mke kamuuliza vizuri tu kuna mtu umem save my han, ni nani huyu mume wangu, mume hakujibu lolote kawasha gari mpaka home kufika kamkung'uta mke wake ipasavyo,, akawasha gari kaondoka bila maelezo yoyote na mpaka sasa hajulikani alipo, jana asubuhi frnd ndio ananical ananieleza yote haya, ana mimba ya miezi 4 akaniambia ameona kitu kama period hivi nikamwambia wahi hosp itakuwa ni mshtuko wa kipigo, namaliza kuongea nae housegal wake ananical ananimabia "dada" amezimia, kumbe alipigwa vibaya ameumia ndani kwa ndani sehemu za kichwa yupo KCMC amelazwa hajitambui na mimba imetoka, ndio nipo naelekea moshi kumuona.....hebu mniambei jamani tunakoelekea na hizi ndoa....nimebakia kulia tu nikiomba mungu nimkute salama....waume zutu hivi mnataka tuwafanyie lipi jema kwenu jamani, mliooa humu hebu niambieni kosa la huyu mdada kupata kipigo kikali hivi ni nini?

Dada kwanza nataka kusema pole kwa yaliyo kukuta kupitia huyo mwenzio. Inauma na kusikitisha sana. Ninacho omba kwanza ni kwamba usi generalize wanaume wote. Mjudge huyo mwanaume kama yeye kutokana na matendo yake yeye.

La kwanza la kufanya ni kumhudumia huyo best wako. Kuhakikisha yupo salama. Akisha pona arudi kwao(kwa wazazi) kwanza.

Mambo yaki tulia cha kufanya ni kupata story za pande zote. Unajua mtu kucheat mara nyingi ina tokana na kukosa kitu kwa mpenzi wake japopia wengine ni hulka na mazingira. Kwa hiyo cha kuchunguza ni nini kilicho sababisha mwanaume huyo ayumbe. Ila alifanya kosa sana kumfanyia hivyo mke wake. Kwanza yeye ndiye mwenye makosa. Pili sipendi kabisa kusikia mtu kampiga mwanamke. Hata mimi nisikia baba angu kampiga mwanamke yoyote achilia mbali mama nitamchukia milele.

Dada again pole sana ilakama nilivyo sema kwa sasa first priority ni afya ya best wako baada ya hapo mengine yatafuata.
 
He wenzio tulishazikamata siku nyingi na kwa taarifa yako utawakomesha mademu wa uswahilini ambao wamezoea kuchuna wa maana wote wanazo za kwao. Unatilishaaaa!!

usinichekeshe mpendwa....................... demu akiona hela huweweseka ile mbaya, haijalishi wa mwananyamala au masaki, kasoma au kakimbia umande, ana kazi au hana, atakumwagia tabasamu huyo,...........

wenzio tulikuwa tuatoka kinondoni tnaenda kuchukuwa mademu mikocheni, tena baada ya kubangaiza visenti kwenye cherehani. unaibuka na tototz unaipiga ice cream ukiwa na ka-cap kama ka tyson, unajilia vitu vya uzunguni kulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

na akleta za kuleta unamshushia vibao akamuonyeshe baba yake.........
 
............😀😀
nasikitika sana kwanin hatukuonana siku ile!natamani nikuone

Ntakutafuta jumamosi tujadili hatma ya huyu mwanaume mwenzio maana kanichefua hapa- sasa pafaidika nini kwa kipigo cha mkewe? Kasababisha mtoto kapotea na hilo ni scar lisilofutika moyoni mwa mkewe na daima atamhesabu kama muuaji.

Na si ajabu limejificha kwa aibu tu hana lolote.

Sisi tunawapenda bali mnatuudhi tu
 
kwa hiyo kama ilitoka huko haitakiwi kuhojiwa? kwanini hakumuoa huyo x bac.

Yeah hakutakiwa kuhoji kabisa.
Hakumwoa kwa sababu hakuwa na sifa za kuolewa, hujui wapo wakumega tu na wapo wa kuolewa ambao wanaweza kuvumilia maswaibu yote hata wanaume hivyo hivyo.
 
usinichekeshe mpendwa....................... demu akiona hela huweweseka ile mbaya, haijalishi wa mwananyamala au masaki, kasoma au kakimbia umande, ana kazi au hana, atakumwagia tabasamu huyo,...........

wenzio tulikuwa tuatoka kinondoni tnaenda kuchukuwa mademu mikocheni, tena baada ya kubangaiza visenti kwenye cherehani. unaibuka na tototz unaipiga ice cream ukiwa na ka-cap kama ka tyson, unajilia vitu vya uzunguni kulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

na akleta za kuleta unamshushia vibao akamuonyeshe baba yake.........

Miaka gani hiyo mpendwa?
 
Ah kwa hiyo ukimkuta na kosa unamwambia ' sweetie mbona nimekuta una sms ya mapenzi toka kwa mwingine? si vizuri mpenzi wangu twende basi ndani nikakupe...?" Nyambafu

Zama za wanaume wajinga zimeshafikia ukingoni kama hamtaki kuoa muache sio mnaingilia nyanja msizoziweza.

Kwanza mwanaume gani anayepiga mwanamke? Kama una hasira katafute bondia upigane naye- uonevu tu!!

halafu unazungusha kiuno mpaka darini kuhakiki unamridhisha....mwehhh patachimbika walaah, nimeondoka huko nyumbani leo nina hacra kishenzi anajichekesha ingekuwa ni mie hapo cjui watu wangetukuta marehemu humu ndani? nikamjibu asubiri nirudi nitampatia jibu.
 
nimekaa najiuliza mwanaume mzima na kengele zako unakimbia nyumba, huko home imebidi nitafute mtu wa kumwangalia housegal na mtoto, kutoa matumizi mpaka nitakapofika na sis atakapofika kutoka mwanza, mdada ni ana muheshimu mume wake kupita maelezo, ana upendo ule wa kweli..cjui wanaume mnataka tufanyaje jamani...akizinduka huko nadhani mwenyewe ndio atakuwa na uamuzi wa mwisho.

Pole sana na mpe pole huyo dada. Hope atapona aanze maisha mapya. But plse note that, not all the so called garbages are useless. Bado tupo wachache.
 
Ah kwa hiyo ukimkuta na kosa unamwambia ' sweetie mbona nimekuta una sms ya mapenzi toka kwa mwingine? si vizuri mpenzi wangu twende basi ndani nikakupe...?" Nyambafu

Zama za wanaume wajinga zimeshafikia ukingoni kama hamtaki kuoa muache sio mnaingilia nyanja msizoziweza.

Kwanza mwanaume gani anayepiga mwanamke? Kama una hasira katafute bondia upigane naye- uonevu tu!!

yaani hapo nilipobold ndivyo inavotakiwa kuwa, mi ukinifanyia hivyo, naweza kukuambia hata na siri nyingine ulizokuwa hujui na nitaacha kabisa kamchezo hako walau kwa sikukadhaa. ukitaka kunimaliza, changanya na kachozi kidogo, walahi nitatubu, a ntakubembeleza usiku mzima, na kesho sitoki ndani nakubembeleza hadi uniambie umenisamehe,

altenativelly ukitaka masumbwi, pia tuko fiti, ndo kama ulivyoona kwa mwenzio!!!!!!!!
 
Ntakutafuta jumamosi tujadili hatma ya huyu mwanaume mwenzio maana kanichefua hapa- sasa pafaidika nini kwa kipigo cha mkewe? Kasababisha mtoto kapotea na hilo ni scar lisilofutika moyoni mwa mkewe na daima atamhesabu kama muuaji.

Na si ajabu limejificha kwa aibu tu hana lolote.

Sisi tunawapenda bali mnatuudhi tu
...poa!
lakini pia ningependa uongee na my wifey mawili matatu!kwa uzoefu ulionao nadhani itamsaidia!....inaonekana umepitia mikasa mingi ajabu
 
Dada kwanza nataka kusema pole kwa yaliyo kukuta kupitia huyo mwenzio. Inauma na kusikitisha sana. Ninacho omba kwanza ni kwamba usi generalize wanaume wote. Mjudge huyo mwanaume kama yeye kutokana na matendo yake yeye.

La kwanza la kufanya ni kumhudumia huyo best wako. Kuhakikisha yupo salama. Akisha pona arudi kwao(kwa wazazi) kwanza.

Mambo yaki tulia cha kufanya ni kupata story za pande zote. Unajua mtu kucheat mara nyingi ina tokana na kukosa kitu kwa mpenzi wake japopia wengine ni hulka na mazingira. Kwa hiyo cha kuchunguza ni nini kilicho sababisha mwanaume huyo ayumbe. Ila alifanya kosa sana kumfanyia hivyo mke wake. Kwanza yeye ndiye mwenye makosa. Pili sipendi kabisa kusikia mtu kampiga mwanamke. Hata mimi nisikia baba angu kampiga mwanamke yoyote achilia mbali mama nitamchukia milele.

Dada again pole sana ilakama nilivyo sema kwa sasa first priority ni afya ya best wako baada ya hapo mengine yatafuata.

nashukuru sana ma bro... yaani kweli nimewaogopa sana, jana mr karudi job namuangalia kwa jicho pembe tu, hata yeye namuona wale wale tu, anyway ngoja nikauguze kama ulivyoniambia then nahc nitarudi normal nikimaliza kuuguza.
 
Babra wala si shetani ni MUNGU alitaka kumueleleza huyo bwana anayejifanya muaminifu katika ndoa yake. Unakumbuka mie nilisema juu ya zile sms nilizokuta kwenye simu ya Mr. Mimi pia sikuwa na tabia ya kugusa simu yake hata iite mara mia ila siku hiyo imagine alikuja chicha hajiwezi nikamvua nguo simu nikaziacha kwenye mfuko wa suruali nikapanda kitandani kulala- usingizi hauji, sauti within me inaniambia 'soma messages za Mr. soma , we acha ujinga soma, nakwambia leo hulali soma' dada nilikaa macho one hour najigeuza tu mwenzangu anakoroma- mwisho nikajiuliza kwa nini nikaamka na kuichukua na kuifungua na sms ya kwanza kukutana nayo ni ya huyo hawara yake .... zikafuata na nyingine nyingi.

Na siku zote alikuwa anaimba kuwa akijanikuta au kusikia namegwa na mtu nje ya ndoa ataniua kwa kuwa yeye hamegi. Nikapata pa kuanzia,

Pa kuanzia na wewe kumegwa? Loo usiniambie!
 
Miaka gani hiyo mpendwa?

unafikiri zamani, kuna demu fulani pale savei ni li-advocate lina kagari kazuri, tumejisevia weee, majuzi tu! miaka hihi hii hata ufisadi ulikuwa umeishazoeleka, majuzi tu hata bembea la jk lilikuwa limeishafungwa huko jamaika!!!!!!!!!!!
 
...poa!
lakini pia ningependa uongee na my wifey mawili matatu!kwa uzoefu ulionao nadhani itamsaidia!....inaonekana umepitia mikasa mingi ajabu

Aksante Geoff ila kusema ukweli am not the good one, nitampotosha.
 
Back
Top Bottom