MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Rejea post niliyomjibu Kimey mydia.Pa kuanzia na wewe kumegwa? Loo usiniambie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea post niliyomjibu Kimey mydia.Pa kuanzia na wewe kumegwa? Loo usiniambie!
Yeah hakutakiwa kuhoji kabisa.
Hakumwoa kwa sababu hakuwa na sifa za kuolewa, hujui wapo wakumega tu na wapo wa kuolewa ambao wanaweza kuvumilia maswaibu yote hata wanaume hivyo hivyo.
....😀😀unafikiri zamani, kuna demu fulani pale savei ni li-advocate lina kagari kazuri, tumejisevia weee, majuzi tu! miaka hihi hii hata ufisadi ulikuwa umeishazoeleka, majuzi tu hata bembea la jk lilikuwa limeishafungwa huko jamaika!!!!!!!!!!!
tunamuombea kwa kweli apone kabisa. Lesson 1. dont save your "hun" contact kwenye simu yako, lesson 2😀O NOT browser your spouse fone lesson 3:MAKE SURE if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!
hapo ndipo ninapochokaga jamani......hivi wanaume wote ndio mnavyofikiri hivyo?..mie ctaki jamani hebu Yesu arudi tu.
hapo ndipo ninapochokaga jamani......hivi wanaume wote ndio mnavyofikiri hivyo?..mie ctaki jamani hebu Yesu arudi tu.
Hehehehe mama hii ni kawaida ila inategemea n'tu na n'tu kama mwanaume umemweka kiganjani kwenye kamati za ufundi anakuwa zezeta lasivyo mmmh
nashukuru sana ma bro... yaani kweli nimewaogopa sana, jana mr karudi job namuangalia kwa jicho pembe tu, hata yeye namuona wale wale tu, anyway ngoja nikauguze kama ulivyoniambia then nahc nitarudi normal nikimaliza kuuguza.
Yeah hakutakiwa kuhoji kabisa.
Hakumwoa kwa sababu hakuwa na sifa za kuolewa, hujui wapo wakumega tu na wapo wa kuolewa ambao wanaweza kuvumilia maswaibu yote hata wanaume hivyo hivyo.
Kwa mwanaume mkorofi hii ndo dawa (kama zipo kweli)
Aksante Geoff ila kusema ukweli am not the good one, nitampotosha.
Ki vip hapo bibie? maana mi kwenye post zako unato ushauri mzuri tu iweje umpotoshe?Aksante Geoff ila kusema ukweli am not the good one, nitampotosha.
swadaktaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............
safi sana mkuu, big up
Ki vip hapo bibie? maana mi kwenye post zako unato ushauri mzuri tu iweje umpotoshe?
hey, mkuu!!,unafikiri zamani, kuna demu fulani pale savei ni li-advocate lina kagari kazuri, tumejisevia weee, majuzi tu! miaka hihi hii hata ufisadi ulikuwa umeishazoeleka, majuzi tu hata bembea la jk lilikuwa limeishafungwa huko jamaika!!!!!!!!!!!
MM.....! Good lessons kuavoid confrontations za aina hii iliyompata huyo dada!
On anothere hand, kwa uzoefu wangu, kuna kina mama wengu tu, ambao ni MABOXER wazuri sana mdomoni (hasa wakisalitiwa), na mara zote boxing ya aina hiyo huend up kwa wao kuumizwa vibaya na midume yao....well kuongea sana, inaweza kuwa njia murua kwa wao kundoa machungu waliokuwa nayo moyoni....bt unfortunately on the other side ya midume, huishia kuchochoe hasira na ugomvi mkubwa!
Na mimi napata hisia za Kwetu ni Kwetu, kwamba ugomvi huu haukuanzia tu kwa kumuuliza hun kny cm ni nani.....kuna zaidi ya hayo yalizungumzwa kati ya wawili hao.......! Babra hukuwepo hapo Supermarket, HG hakuwepo huko,wala kny gari.....so I believe kunasomething else kilizungumzwa! Kama sio, bac huyu jamaa ni mnyama wa hali ya juu....abnormal man!
MJ1 bwana...mana utampa ungangari wote wa kupambana humo ndani, nilivyokuwa mwanza nilienda kwenye kitchen party na sis wa huyu frnd wangu, wamama wanamwambia mdada"mvumilie mumeo, yaani mpaka kufikia kukuoa wewe ujue wewe ni wa muhimu sana kwake, kazunguka kakuona wewe, akija saa 6 ucku mpashie chakula mlishe, akirudi asubuhi mpige busu mcndikize bathroom...huyu sis wetu nae kabakiwaga na akili za kuvukia barabara alivyoambiwa atoe na yeye maoni yake, akamwambia mdada' mdogo wangu mumeo akirudi ucku muhoji tena muhoji vizuri tu mpaka kieleweke, uckae ukaletewa maradhi ya wazi wazi ndani kisa unaabudu ndoa, hoji mpaka kileleweke na akupe kinagaubaga....nadhani wewe ndio type hiyo....lol
Unajua kuna wanawake wa kuolewa au kuoa na kuna wanawake hawafai hata kidogo kuolewa hawa ndo wa kumegwa tu ukijitumbikiza ukamwoa utakuja juta matatizo ndani ya hausi hayaishi. Mara hili mara lile yaani tabu tupo.
Babra unanijua vema nilivyokuwaga mpole, mnyenyekeevu hayo ya kurudi usiku wa manane na kumpikia ugali nimefanya saaana mpaka nilipoona hailipi. Unakumbuka nilipokuwa nakuja nalia lia hapa unatamani kunitandika na fimbo.
Sometimes wao wenyewe wanatufunza ujeuri ati!