Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
Akili kichwani na mwanaume mwenye akili kichwani angekubali kosa na kuomba msamaha na kama mwanamke bado anaongea mume alipaswa kukaa kimya au kuondoka akisubiri hasira ya bibie ipoe. Lakini kumpiga ni under-low kabisa kwani mwanamke yule kakosewa na kusema ni haki yake- mie ningemtoa sikio kwa meno au ningekamata yale mahang-over yake aende akakandwe huko huko kwa hawara yake.
unafikiri mwenzio hakufanya hivyo unavyosema? si ndio mnavyodanganyanaga kwenye kicheni pati? alikutana na mwanaume wa shoka ndio maana sasa yuko hospital na mwenzie anapata supu kwa small house.
sina ugomvi na wanawake lakini messege yangu ni kwa wanawake wanapaswa kuwa wanyenyekevu, huo usawa mnaotafuta hadi mnafokea waume zenu ndio unaowaponza na vipigo kama hivyo. jinyenyekeze na ikibidi lia, umlilie, ndio wanaume wanavyotaka, sio ufungulie kiredio chako mkulima umnanga mzee! shame on you women stereos