Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Geoff rudi Pugu road.MAM'UUU ANGALILE UMWANAAA HUYOOOOOOOOOOOO...ing'waleeee zdsipala kumahame,...NIGE MUYAWE UANGALILE UMWANAA HUYOO ING'WALEEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
ING'WALEEE DZSI PALA KUMAHAMEEE,ING'WALEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
HEHEHE!mwambie neksti levo akudadavulie....!yani niko sambamba na srediGeoff rudi Pugu road.
MAM'UUU ANGALILE UMWANAAA HUYOOOOOOOOOOOO...ing'waleeee zdsipala kumahame,...NIGE MUYAWE UANGALILE UMWANAA HUYOO ING'WALEEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
ING'WALEEE DZSI PALA KUMAHAMEEE,ING'WALEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
hehehehe!Ha!hahahaaaaaaa....hii kitu inatakiwa iwepo come 13/02.......! I love it mazee......!
kujinyenyekeza na hata kama ametoka kunicheat, nooooo, watafuteni hao hao wanawake wa aina hiyo. nimlilie mwanaume, what foer? kwangu angepata vendetta la kufa mtu, ningemsubiria tu siku moja , walah hata kwa maji ya moto namchoma, na ukiweka na hasira ya kufiwa mwanangu tumboni sababu ya kimada wake ll! kweli inahitaji tu uwepo wa Mungu ndo ntatoa msamaha, lakini kwa moyo huu wa nyama wa kibinadamu sidhani.unafikiri mwenzio hakufanya hivyo unavyosema? si ndio mnavyodanganyanaga kwenye kicheni pati? alikutana na mwanaume wa shoka ndio maana sasa yuko hospital na mwenzie anapata supu kwa small house.
sina ugomvi na wanawake lakini messege yangu ni kwa wanawake wanapaswa kuwa wanyenyekevu, huo usawa mnaotafuta hadi mnafokea waume zenu ndio unaowaponza na vipigo kama hivyo. jinyenyekeze na ikibidi lia, umlilie, ndio wanaume wanavyotaka, sio ufungulie kiredio chako mkulima umnanga mzee! shame on you women stereos
......ππ
tukiipweee tukipweeeeee tukipweeeeee eeeeh!
TUKIPWEEE MWALI VETUUU TUHELEEE NAVEEEEE
.....πππkujinyenyekeza na hata kama ametoka kunicheat, nooooo, watafuteni hao hao wanawake wa aina hiyo. nimlilie mwanaume, what foer? kwangu angepata vendetta la kufa mtu, ningemsubiria tu siku moja , walah hata kwa maji ya moto namchoma, na ukiweka na hasira ya kufiwa mwanangu tumboni sababu ya kimada wake ll! kweli inahitaji tu uwepo wa Mungu ndo ntatoa msamaha, lakini kwa moyo huu wa nyama wa kibinadamu sidhani.
Geoff rudi Pugu road.
HEHEHE!mwambie neksti levo akudadavulie....!yani niko sambamba na sredi
sana tu home boi!....Ni PM twende sawa.....ha!ha!ha!aaa...very gud stuff!
Daaah mzee naona ma-G Klefu ya kiasili yanapanda kinoma.......!
itapobidi niwe stereo nakuwa...huo unyenyekevu una kiac pia.
msukuma wa MARA!...πMmmh! Msukuma wa wapi huyo?
kujinyenyekeza na hata kama ametoka kunicheat, nooooo, watafuteni hao hao wanawake wa aina hiyo. nimlilie mwanaume, what foer? kwangu angepata vendetta la kufa mtu, ningemsubiria tu siku moja , walah hata kwa maji ya moto namchoma, na ukiweka na hasira ya kufiwa mwanangu tumboni sababu ya kimada wake ll! kweli inahitaji tu uwepo wa Mungu ndo ntatoa msamaha, lakini kwa moyo huu wa nyama wa kibinadamu sidhani.
Hehehe zipo sana tena mno.... mm nataka nimfanyizie jamaa mmoja hivi ananiibia uswazi nataka nifunge safari kijijini nimpige bomu awe anajamba jamba ovyo ovyo akimkumbuka lazizi wangu wa uswazi.
njoo pale mtwango tuingie NYUMBA NIITU!....Kijiji gani huko nasi tukajichukulie vidhibiti mwendo!π
kujinyenyekeza na hata kama ametoka kunicheat, nooooo, watafuteni hao hao wanawake wa aina hiyo. nimlilie mwanaume, what foer? kwangu angepata vendetta la kufa mtu, ningemsubiria tu siku moja , walah hata kwa maji ya moto namchoma, na ukiweka na hasira ya kufiwa mwanangu tumboni sababu ya kimada wake ll! kweli inahitaji tu uwepo wa Mungu ndo ntatoa msamaha, lakini kwa moyo huu wa nyama wa kibinadamu sidhani.