Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

lubaz

Member
Joined
Dec 21, 2024
Posts
74
Reaction score
68
Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI

1734768655617217787318487578169.jpg
 
Well nilienda kwa show nikitumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel nikaona sijaridhika nikapiga punyeto sijui labda apo kutokunawa umenipa vvu au stress ndo zinafanya niwe ivi
WtF,unaweweseka kiasi hiki huku condom ulivaa je ungekuwa umeiloweka mbichi si ungeshajinyonga saa hizi?

Yaani wewe dogo una wenge moja kali sana nakushauri achana na ngono kabisa au rudi kijijini kwenu beba mke urudi nae,ukiona unashindwa geukia hata kuwa mtawa ujue moja.
 
Pole mkuu naomba kuuuliza unakaa maeneo ya baridi?
Kingine je ulikutana kimwili hapo nyuma na mtu unae mtilia shaka afya yake?
 
So kwa akili zako unadhani ukimwi mtu anapimwa kwa kuangalia lips au ulimi?

Kujua exactly kama unao au huna ni kupitia vipimo hospital siyo kupitia picha nenda kapime ila wewe acha ngono huiwezi. Bei za vipimo pharmacy shingapi ss
 
Back
Top Bottom