Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Wakuu nimepima leo nimeambiwa Sina vvu nimepima after 4 weeks so kipimo kipo accurate
 
Yani mtu unakuwa malayaa ilaa Muogaaa balaaa🤣🤣🤣 Kondomu uvaeee na demu usimleee uishiee kupiga nyeto alafu uanze wengeee. Ujana kazi
 
Kama huna magonjwa mengine ya kudumu hasa Sukari vidondo vdogo vya mdomo vikupata hupona kuanzia siku 3 hadi 7 unakuw ushasahau kam ulkuw na kdonda

Tumia chungw na limao na ukapme
 
Back
Top Bottom