Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Una tatizo kubwa kuliko HIV.

You obsess, and constantly think about getting or having HIV. Itakuletea shida ikizidi.
 
usijali fanya aya

👉mrudie muumba wako haraka bila kusita
👉anza dawa mapema na kama umeshaanza usiache
👉jikubali haki yako ivo ulivyo
👉jitahidi kulala mapema
👉usiuziane na mtu
👉kunywa maji mengi
👉mtangulize mungu mbere
👉fanya mazoezi
👉punguza stress
👉fata nyendo zinazofaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…