Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Mkuu leo kuna mzigo nilitaka kuagiza jumia nikawa nashangaa kila nikipakua hiyo app sioni jina la tz. Asee nimehangaika sana. Kumbe walishatuhama kitambo hao jamaa dah!
 
hivi mtu akisema current economic environent maana yake mazingira mabovu ya kiuchumi sio?
 
hivi mtu akisema current economic environent maana yake mazingira mabovu ya kiuchumi sio?
Kwahivyo waliamua kuondoka Tz kwa sababu ya mazingira mazuri? [emoji1] Read nigga acha uvivu. ...Reshma Bharmal-
Shariff said the organization decided to
take an exit due to
the current economic environment...
 
Mimi nishaishi TZ kiasi nakwambia watanzania ni bongo lala vibaya sana . Hawa jamaa ni wapumbavu mazee
 
Kwahivyo waliamua kuondoka Tz kwa sababu ya mazingira mazuri? [emoji1] Read nigga acha uvivu. ...Reshma Bharmal-
Shariff said the organization decided to
take an exit due to
the current economic environment...
Poisoning the well- fallacy; read the premises
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…