Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Tatizo culture ya waafrika mkuu. Jumia amekuja amefail. Business ya e commerce afrika bado sana na sbb kubwa ni utamaduni watu mpaka waone mzigo wachague waende duka jingineeee ndo anunue na baggain za kufa mtu. Business ni issue mkuuu
 
Ugali mhogo mnakufa njaa ndo maana mnachezea vichapo toka kwa wanawake wenu huku chips na game wanazielewa huko mnakua useless hadi wanawachomoa transfoma mnatia huruma sana
Sasawa katibu mkuu wa chama cha wala chipsi dar
 
Si heri huyo kapika umbwa, tanzania ndio kamchinja mwanae haswa[emoji23][emoji23]
leta ushahidi hapa kama uo
[emoji116][emoji116]hajala huyu
20201214_144042.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe imekuuma ee[emoji23][emoji23]
Pole sana, hta usinichukulie vibaya ni ukwel tu nakwambie na pia ni vile umekiri mwnyewe mpenda chipsi
Inaniuamaje wakati we mkimbizi tu hapa najua njaa zinakusumbua unapiga tu marktime muda uende ushapiga pasi yako ya githeri na avocado unangoja jioni unye kwenye mfuko ukalale kwenye fulusuti lako
 
Simba ndiyo inaongoza east afrika kwa kuwa na followers wengi na ipo tupo ten kwa Afrika.
Wakenya wanakuja na vikampuni vyao vya kijanjajanja ili kujitengenezea soko.la ajira hao brighter on monday walishitukiwa na waajili sababu walikuwa wanawaletea wafanyakazi wengi toka Kenya ambao wengi walikuwa wanakataliwa work permit ndio maana wakaacha kuitumia.
Kijumia ni kakampuni kadogo kanachofanya udalali ndio maana watanzania wanatumia Amazon, ebay au alibaba.
 
Inaniuamaje wakati we mkimbizi tu hapa najua njaa zinakusumbua unapiga tu marktime muda uende ushapiga pasi yako ya githeri na avocado unangoja jioni unye kwenye mfuko ukalale kwenye fulusuti lako
Kweli imepenya[emoji23][emoji23]
Yani unaanzaje kusifia chipsi dume zima, pole sana kw kujiumbua
 
Kweli imepenya[emoji23][emoji23]
Yani unaanzaje kusifia chipsi dume zima, pole sana kw kujiumbua
Sasa unalazimisha wewe ndo unaonekana sasa umeumia mimi sijaikataa chipsi ni msosi wa kawaida tu na bado tunawashona dada zenu una jipya?
 
Acha Ulimbukeni wewe... Unaoushobokea(huo ujanja) ndio ushamba wa ulaya wenyewe(if you know what I mean)
Nitapoteza muda nikikujibu.
Ukiona kampuni za kimataifa ambazo zimeajiri wazawa zinakukimbia ujue kuna tatizo kubwa ila viazi kama wewe huwezi kujua.
 
The CEO of Geza kiti mtu meat processing plant in subawanga is in negotiation with high technical delegates from people communist party bank from China.
The CEO Mr Geza has been shuttling between both countries for technology support in view of his grand plans to institute kiti mtu into the market place.
 
Nitapoteza muda nikikujibu.
Ukiona kampuni za kimataifa ambazo zimeajiri wazawa zinakukimbia ujue kuna tatizo kubwa ila viazi kama wewe huwezi kujua.
kujaza kampuni zisizokimbia bila faida nalo ni tatizo kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom