Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

Hivi kulingana na akili yako uchwara DRC iko na high internet penetration kuliko Tanzania kwa sababu akina Koffi Olomide wana high internet following? Saa zingine mimi huona kama wabongo akili yao hutupwa na placenta wakizaliwa.

Nani kakudanganya Koffi ana followers wengi kwenye social media, Koffi yupo level moja na Sauti sol, kwa Tz wapo level moja na media za udaku kama Dizzim online and the likes. Media zinazo heshimika kwa social media kama Ayo Tv zipo juu sana, mfano Ayo Tv ana zaidi ya 3m subscribers YouTube na contents zake zimefikisha 1bn views Youtube, huyu anaongoza East and central Africa, hapa tumewatoa kina Diamond na wasanii wakubwa, Kenya hakuna wa ku match hata na Ayo Tv, wote wapo level za media za udaku za Tz.
 
wewe mbuzi kweli,

drc ina waimbaji wakongo wanaoeleweka na wafaransa na wakongo wanaoishi ufaransa,usichoelewa ni kitu gani??
kwahiyo bado hoja yako haikai hapo.
Na ndio maana nimemuambia millardayo contents zake ni 100% lugha ya Tanzania, analeta issue za Koffi ambae anaongea lugha ya central and West Africa yote na ulaya na ni mwanamuziki mwenye 30 years kwenye game 😅😅😅

Japo pamoja na yote hayo hawezi pambana hata na Kiba kwenye issue za online music
 
Kwani lazima wafanyie Bongo tu, tatizo wezi wengi sana!
 
Mi nadhani ni uaminifu tu kitu unachopoint na kuagiza inabidi kije vile vile na qualification zake.Sasa unaagiza simu samsumg s6 edge inakuja s6 kavu nani ataweza biashara hiyo.Kuna watu wanajiita agiza nasi china wapo insta nilivutiwa nao nikaagiza now naona hawapokei simu zangu wala kujibu text sijuwi nishapigwa mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yaan haya mambo aisee.
 
Wacha nijitolee nikueleze hili wee bwege.

Watanzania wengi lugha munayoielewa ni Kiswahili pekee. Ndio maana kwa mtandao Watanzania content wanayoangalia ni 99% Tanzanian. Hili linafanya wasanii kadhaa wa Tanzania wawe na views nyingi Africa. Meanwhile nchi zingine kama kenya tuko na variety. Tunaangalia content kutoka dunia nzima kwa hivo content ya Kenya is just a fraction of what we view. Despite that, bado tuna wasanii wengi tu ambao wana views nyingi maanake sisi hatukatalii msanii mmoja kama nyie. Nakuita ngiri kwa sababu reasoning yako ni uchwara, eti juu millard ayo ako na views nyingi Africa hiyo inamaanisha Tanzania ina higher penetration? Sasa juu amashinda wasanii wa Afrika Kusini muna penetration kushinda Afrika kusini? Ndio hii hapa internet penetration in Africa. Angalia vizuri ujitoe ujinga.

 
Watu wa internet penetration arguments mko wapi
Wapo kwenye kikao wakijadili mbinu za kumroga Profesa Samuel Wangwe wa Chuo Kikuu Cha Dar. 😁 “E-commerce is the future. There is
also a need to enhance information,
communication and technology (ICT)
infrastructure such as a strong
internet connection
,” said Prof
Wangwe.
 
acha upumbavu wewe mtoto,halafu mbona hueleweki,kwa maelezo haya ulipotolea mfano wa koffi ulikuwa unafikiria kwa kutumia kiungo gani!!!!

wanigeria wana makabila yenye nguvu kilugha 5,na wanaimba lugha mixer,embu niambie mnawafikia kwenye platform gani???
kabla hujajibu hapo juu tulia kwanza,najua utakurupuka uingie mkenge.
 
Hivi kulingana na akili yako uchwara DRC iko na high internet penetration kuliko Tanzania kwa sababu akina Koffi Olomide wana high internet following? Saa zingine mimi huona kama wabongo akili yao hutupwa na placenta wakizaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi ngapi afrika zianuelewa na lugha ya kiswahili, na hyo 1bln views kaipata kw mda gani nyie kweli hamjui ku reason..

Watu hko hamna content za maana zingine za kuangalia basi ndio mumekomalia kw ayo tv
 
Tatizo ni mfumo wa kishamba tulio nao
 
Wapuuzi hao, wao ni wazee wa kukomalia kitu kimoja..we jiulize tz zaidi ya ayo tv kuna kitu gani kingine cha maana cha kuangalia km sio umbea..
 
Wa nigeria wanajielewa wala sio watu wa kukomalia kitu kimoja km nyie..yani km nyumbuvile, yule pale davido katoa nyimbo juzi tena kw kingereza lkn ukienda kuangalia views utashngaa lkn ukija upande wa tanza diamond kafanya na koffi basi wabongo wanachanganyikiwa manake hakuna kitu kingine cha kuangalia mitandaoni, kila mtu anapost hyo content moja..
 
hatuna kitu kingine cha kuangalia!!!

unaijua league maarufu EA[emoji23],kamuulize joash onyango.

kinachokuuma wewe ni kuiona nguvu ya kiswahili na watz ikifanya maaajabu.sasa nyinyi mnatuzidi wapi[emoji23]

maama hata tukiwakusanya kote mlikojificha huko bado hamtoshi mboga,twitter,badoo,wikipedia,tiktok nk kote bado tunawachapa.
 
You should be talking about how many Tanzanians transact business online...si mambo ya ki upuzi Kama YouTube views ,followers na subscriptions.
As we speak Kenyans are minting money online,nenda freelancer , upwork,Truelancer na zinginezo utapata wakenya wamejazana huko.
Amazon ,Alibaba na eBay also ship to Kenya .That will tell you the shear volume of e commerce in Kenya.
 

Kwa hivyo soko lenu ni la umbea, hivyo muwekezaji akifungua biashara inayohusu umbea atatusua Tanzania, kweli akili zenu mnazijua wenyewe, huwa mumekwama sana....
 
Dimwits, unaona mwengine hapo juu anapost a personal achievement of a Tanzanian on Youtube kuprove they have internet penetration. Hawa watu ni wa kucheka tu.
Hili swala wala halina uhusiano interent Penetration, inaweza ikawa juu sana lkn swali la msingi ni je, Watu wako tayari kufanya manunuzi kwa njia hiyo??

Ni swala la kitabia zaid sio internet Penetration, manake internet iko almost nchi nzima, kama hapana 4G basi 3G ipo

Kinachofanyika Tanzania, una kitu unauza, we tangaza mitandaon alafu toa physical location MTU aje, hapo utauza, ila kila kitu kufanyika online , hilo sahau...

Ni sababu ya hawa ni wizi wa mitandaon, umekua mkubwa sana
 

kabla uje na kunijibu tu ulitakiwa ujue tumefikaje hapo kwa hiyo coment yangu.

youtube ni ya kipuuz[emoji23][emoji23],au hujui maana ya upuuzi!!yaani nyinyi watu ni wa hovyo hovyo sana.so kwa vile mmechapwa 10-0 tayari imekuwa ya kipuuzi!!!

labda nikuulize it takes how long kufungua acc online uchukue mzigo nje uje kuuza nchini kwako???maana naona ni kama unahisi hilo ni swala gumu sana.mnawezakuwa mmetangua tayari muda mrefu tu,lakini haizuii sisi kuanza sasa na kuja kufanya kwa nguvu zaidi.
 
Kwa hivyo soko lenu ni la umbea, hivyo muwekezaji akifungua biashara inayohusu umbea atatusua Tanzania, kweli akili zenu mnazijua wenyewe, huwa mumekwama sana....
unawashwa vipi na uharaka wa kujibu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…