Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Data fakeWacha nijitolee nikueleze hili wee bwege.
Watanzania wengi lugha munayoielewa ni Kiswahili pekee. Ndio maana kwa mtandao Watanzania content wanayoangalia ni 99% Tanzanian. Hili linafanya wasanii kadhaa wa Tanzania wawe na views nyingi Africa. Meanwhile nchi zingine kama kenya tuko na variety. Tunaangalia content kutoka dunia nzima kwa hivo content ya Kenya is just a fraction of what we view. Despite that, bado tuna wasanii wengi tu ambao wana views nyingi maanake sisi hatukatalii msanii mmoja kama nyie. Nakuita ngiri kwa sababu reasoning yako ni uchwara, eti juu millard ayo ako na views nyingi Africa hiyo inamaanisha Tanzania ina higher penetration? Sasa juu amashinda wasanii wa Afrika Kusini muna penetration kushinda Afrika kusini? Ndio hii hapa internet penetration in Africa. Angalia vizuri ujitoe ujinga.
![]()
Africa number of internet users by country 2024 | Statista
As of January 2024, Nigeria had more than 103 million internet users - the highest number reported all over Africa.www.statista.com
Katika nchi ambazo hazitoagi Data au statistics ukiachana na North Korea, ni Tanzania
Data au statistics yeyote mitandaon n swala la kufikirika
Hapo Kenya MNA wasanii wangapi wenye followers zaid ya 5mil Instagram ??( hii inakupa picha kamili ya soko la nyumbani
Achana na hawa 1 to 5mil, Tanzania hawahesab, wengi mno