sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Watanzania ni wagumu kujifunza lakini kibaya zaidi ni wezi, mafisadi wavivuWao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Sisi ni wezi by nature na usipoiba ukiwa kitengo hata raia zinakushangaa. Utasikia jamaa anafanya kazi ana cheo bandarini ila hana hata gari la maana.Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Hivi kwanini hatutaki kukubali sababu zinazosababisha kukwama kwa kupata faida kubwa na uendeshaji wenye tija?
Mbona jawabu ni kutokuwa waaminifu
Tuwe waadilifu na tufanye kazi bila wizi, Haki tutafika mbali sana
Kwa hio unataka kutuambia wale walioadhimia Bandari wapewe waarabu ni wakenya au ? Na wao umewajumisha kwenye hao wezi, mafisadi, wavivu ?Watanzania ni wangumu kujifunza lakini kibaya zaidi ni wezi, mafisadi wavivu
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Mijitu mingi inayolalalma humu inafikiri hao Dp world ni kikundi cha waarabu wawili watatu...Mleta mada ficha ujinga wako.
Sisi huwa hatupendi sana kujifunza ila tunapendaga upigaji tu !!Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hio knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu ?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao,
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Hata Simba na Yanga pia wanachama hawataki ziendeshwe na wawekezaji lakini timu kubwa za Ulaya zinaendeshwa na wawekezaji wa kutoka UARABUNI !! 😅😅Mijitu mingi inayolalalma humu inafikiri hao Dp world ni kikundi cha waarabu wawili watatu...
Ukiwaambia mbona wanaendesha bandari USA Hadi China na ujerumani na UK...hawanga majibu
Kuna wengine wana genuine concerns kuhusu MOU na hawaiamini Serikali ya CCM kwasababu za kihistoria na mikataba mibovu na rushwa, na kuna wengine wanachuki na Waarabu na kunawengine hupenda kupinga tu everything.Ukiwaambia mbona wanaendesha bandari USA Hadi China na ujerumani na UK...hawanga majibu
Kuna wengine wana genuine concerns kuhusu MOU na hawaiamini Serikali ya CCM kwasababu za kihistoria na mikataba mibovu na rushwa, na kuna wengine wanachuki na Waarabu na kunawengine hupenda kupinga tu anything.
Aisee!! Watu wangeacha hata kudai mchakato wa Katiba wangekesha JF kumtukana Bi Samia.Pata picha aliewapa tender ya kujenga Bwawa wale waarab wa Arab contractor angekuwa Samia
Watu wanaendekeza sana upigaji tu ! Wanasemaga ndio ujanja wa mjini !! Hasara sana !! Akili zetu ni za kutambiana tu sio za kuiendeleza Nchi !!Serikali ilishafanya hivyo MSD, watu wakawa trained, bohari ikawa na dawa na fedha hadi za akiba, ila tangu waondoke "wazungu", hatujawahi kuwa na ufanisi hata wa kugawa dawa nchi nzima kwa wakati.
Tunachoweza ni kutengua na kuchagua Wakurugenzi.