Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

Ikulu tulijenga wenyewe na inahadhi ya kiwango cha kupigiwa mfano mnaita kimataifa. Madini tumeshindwa kuwekeza, gas tumeshindwa, makaa ya mawe tumeshindwa hata bandari tumeshindwa kisa uvivu, mawazo mgando na roho ya kushindwa, wizi (umimi) na kutojitoa kwa ajili ya wengine.
Zamani wazungu walikuwa wanataka watumwa, sasa hawataki watumwa wanataka rasilimali zetu huu ndio utumwa wa sasa.

Kwahio huweka kibaraka wake kwenye nchi akafanya atakalo, huku kibaraka(ccm) huachia bwana achukuwe atakalo.

Zamani watumwa walikuwa wakiuliza serikali yetu ipo wapi? Haioni huu ujinga. Na sisi tunauliza suali hilihili serikali haioni huu ujinga.
 
Hivi kwanini hatutaki kukubali sababu zinazosababisha kukwama kwa kupata faida kubwa na uendeshaji wenye tija?
Mbona jawabu ni kutokuwa waaminifu
Tuwe waadilifu na tufanye kazi bila wizi, Haki tutafika mbali sana

Hahaha hii ni point ambayo watu wengi hawataki kuisikia. Yes Uadilifu ni 0
 
W
DP world ipo in bed na the CIA ,as for how and why wanaitaji bandari ya tz ni unknown at least for now , kuzika kwa magonjwa Kama ebola ,zika ,papilloma virus magonjwa ambayo historically hayajawai kuambukiza humans is highly suspicious ...na nchi yyte Africa inayowapa waarabu ,wahindi au mzungu wa nje ,critical infrastructure Kama bandari ni ujinga wa kupitiliza ,ni kipi wataleta hakikuwepo awali ,we export and import as per the needs za nchi,wanaosema faida ni faida gani hiyo ???? So long as tz ina demand vitu bandarini vitapita tu , Kuna kitu nyuma ya pazia hatukioni ,na viongozi ndo wajinga kabisa ,Kama ni wizi siwangewafunga wezi tu .Sad state of affairs
Theory ya watu walioshindwa (failures) hiyo.
 
Kabla ya kutrain watanzania kusimamia bandari iundwe sheria kali ya maadili ya utumishi wa umma kama zile za china. Amini amini nakwambia shida sio technolgy shida ni uadilifu wa watumishi wetu kuanzia waziri wa wizara husika katibu mkuu hadi mlinzi gettini hapo bandarini
Waweke sheria ya kunyongwa anaeiba mali ya Umma kama China!! Hapo haitahitaji kubinafsisha chochote !!
 
Zamani wazungu walikuwa wanataka watumwa, sasa hawataki watumwa wanataka rasilimali zetu huu ndio utumwa wa sasa.

Kwahio huweka kibaraka wake kwenye nchi akafanya atakalo, huku kibaraka(ccm) huachia bwana achukuwe atakalo.

Zamani watumwa walikuwa wakiuliza serikali yetu ipo wapi? Haioni huu ujinga. Na sisi tunauliza suali hilihili serikali haioni huu ujinga.
Inaona ila na sisi tumeshindwa kuacha upigaji !!
 
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu?

Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao.

Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga utegemezi kwa watu wengine wasimamie nyumba yenu ndio yanayotufanya waafrika siku zote kuonekana tabaka la chini kiasi cha kushindwa kujisimamia.
Miaka miwili ya nini? miezi 6 inatosha kwa training
 
Theory ya watu walioshindwa (failures) hiyo.
hahahaha yaani nmecheka balaa , hapo kwa faliure are you addressing substantively my thoughts or my financial situation currently , i run a law firm employing 16 advocates , a logistics company with 27 trucks , real estate in the billions , hizo abstract agreements za hyo deal nmezipitia extensively , they offer nothing new ,hata investor mwenyewe hajacommit in principle kuinvest chochote amepewa tu, mnaowatetea waarabu hao mna slave mentality ya kuchukiza , principally am rich iuzwe , wapewe or whatever it doesnt affect me in any way , my thoughts traverse the impotence of the elites and people inept like you who handover fully constructed facilities on a whim simply kwa kuwa ni mwaarabu
 
Commitment ipi unaitaka zaidi ya hii:

Commitment ipi unaitaka zaidi ya hii:

sasa nisemapo youre inept in thinking sijakosea , unavuta thread JF kuprove point ???? nenda kwa webisite yao ipo link to the agreement na the the government circular iliyovuja ya hyo contract(both of which zinafanana) , no monetary value was affixed for any investment yyte , humu JF unawadanganya watu sana, soma the actual fineprint sio story za kijiweni...
speaking from expirience sababu nabeba mizigo sana kutoka bandarini , ushawai pafika ukaangalia the voumes zinzaopita pale or the indirect impact ya jobs ambayo ipo ????
 
Unafiriki niliviota hivyo vyanzo? Tembea mtandaoni.

Kalaga baho.
 
ya mtandaoni ntakuachia najua umebobea , ila tukifikia kwa facts on substantive issues from the source waachie wazalendo au the educated , cha mwisho nkiachana nawe never provide jamii forums kama source in an intellectual conversation or argument , nimekupa source ya contract ile , umeenda kuisoma au umechemsha umebaki na bla bla bla nyingi tu ???
 
Unafikiri ya mtandaoni yanajiotea kama uyoga tu bila source? Unataka source ipi tukupe?

Nty unaejidugu una. Mambo chubgu nzima basi hatankufikiri chanya kidogo kunakushinda?

"If such are the priests, God bless the congregation ".
 
Unafikiri ya mtandaoni yanajiotea kama uyoga tu bila source? Unataka source ipi tukupe?

Nty unaejidugu una. Mambo chubgu nzima basi hatankufikiri chanya kidogo kunakushinda?

"If such are the priests, God bless the congregation "
mtandao sio source , cha pili JF unacite vipi kama source kwani hujasoma au ww ni wale wa sunday school au madrassa alafu ndo hapo tu , sources are relevant construent sources of information i.e governments websites or the company itself ..... narudia tena nimekupa location ya contract umeisoma ????au ni kupwaya , huna biashara bandarini na contract source nakupa hata kwenda kusoma au screenshort unashindwa , ww mbongo watakaje ????
 
Back
Top Bottom