Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

Zamani wazungu walikuwa wanataka watumwa, sasa hawataki watumwa wanataka rasilimali zetu huu ndio utumwa wa sasa.

Kwahio huweka kibaraka wake kwenye nchi akafanya atakalo, huku kibaraka(ccm) huachia bwana achukuwe atakalo.

Zamani watumwa walikuwa wakiuliza serikali yetu ipo wapi? Haioni huu ujinga. Na sisi tunauliza suali hilihili serikali haioni huu ujinga.
 
Hivi kwanini hatutaki kukubali sababu zinazosababisha kukwama kwa kupata faida kubwa na uendeshaji wenye tija?
Mbona jawabu ni kutokuwa waaminifu
Tuwe waadilifu na tufanye kazi bila wizi, Haki tutafika mbali sana

Hahaha hii ni point ambayo watu wengi hawataki kuisikia. Yes Uadilifu ni 0
 
Theory ya watu walioshindwa (failures) hiyo.
 
Waweke sheria ya kunyongwa anaeiba mali ya Umma kama China!! Hapo haitahitaji kubinafsisha chochote !!
 
Inaona ila na sisi tumeshindwa kuacha upigaji !!
 
Miaka miwili ya nini? miezi 6 inatosha kwa training
 
Theory ya watu walioshindwa (failures) hiyo.
hahahaha yaani nmecheka balaa , hapo kwa faliure are you addressing substantively my thoughts or my financial situation currently , i run a law firm employing 16 advocates , a logistics company with 27 trucks , real estate in the billions , hizo abstract agreements za hyo deal nmezipitia extensively , they offer nothing new ,hata investor mwenyewe hajacommit in principle kuinvest chochote amepewa tu, mnaowatetea waarabu hao mna slave mentality ya kuchukiza , principally am rich iuzwe , wapewe or whatever it doesnt affect me in any way , my thoughts traverse the impotence of the elites and people inept like you who handover fully constructed facilities on a whim simply kwa kuwa ni mwaarabu
 
 
Commitment ipi unaitaka zaidi ya hii:

 
sasa nisemapo youre inept in thinking sijakosea , unavuta thread JF kuprove point ???? nenda kwa webisite yao ipo link to the agreement na the the government circular iliyovuja ya hyo contract(both of which zinafanana) , no monetary value was affixed for any investment yyte , humu JF unawadanganya watu sana, soma the actual fineprint sio story za kijiweni...
speaking from expirience sababu nabeba mizigo sana kutoka bandarini , ushawai pafika ukaangalia the voumes zinzaopita pale or the indirect impact ya jobs ambayo ipo ????
 
Unafiriki niliviota hivyo vyanzo? Tembea mtandaoni.

Kalaga baho.
 
Unafiriki niliviota hivyo vyanzo? Tembea mtandaoni.

Kalaga baho.
ya mtandaoni ntakuachia najua umebobea , ila tukifikia kwa facts on substantive issues from the source waachie wazalendo au the educated , cha mwisho nkiachana nawe never provide jamii forums kama source in an intellectual conversation or argument , nimekupa source ya contract ile , umeenda kuisoma au umechemsha umebaki na bla bla bla nyingi tu ???
 
Unafikiri ya mtandaoni yanajiotea kama uyoga tu bila source? Unataka source ipi tukupe?

Nty unaejidugu una. Mambo chubgu nzima basi hatankufikiri chanya kidogo kunakushinda?


"If such are the priests, God bless the congregation ".
 
Unafikiri ya mtandaoni yanajiotea kama uyoga tu bila source? Unataka source ipi tukupe?

Nty unaejidugu una. Mambo chubgu nzima basi hatankufikiri chanya kidogo kunakushinda?


"If such are the priests, God bless the congregation "
mtandao sio source , cha pili JF unacite vipi kama source kwani hujasoma au ww ni wale wa sunday school au madrassa alafu ndo hapo tu , sources are relevant construent sources of information i.e governments websites or the company itself ..... narudia tena nimekupa location ya contract umeisoma ????au ni kupwaya , huna biashara bandarini na contract source nakupa hata kwenda kusoma au screenshort unashindwa , ww mbongo watakaje ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…