Keptain Delick Gaspa Mkandara Rufufuuuuuuuuuuuuuu[emoji1]Enzi hizo ulikua ukisikia "Wapeeeenzi watazamaji ndugu zangu wapendwa, mukandara rufufu videotek iliyopo katika jiji la daresalama inakuletea muvi ya Masokorindo (Deadly Prey)"
Enzi izo kina Dj Murphy hatuwajuiEnzi hizo ulikua ukisikia "Wapeeeenzi watazamaji ndugu zangu wapendwa, mukandara rufufu videotek iliyopo katika jiji la daresalama inakuletea muvi ya Masokorindo (Deadly Prey)"
Naitwa DJ mark kuku ngwendo wa zabanga aka jogooNilipomjua Dj mack nilipenda utafsiri wake nikaachana na rufufu. Hao madj wa arusha hata siwaelewagi.
Kwanza nimecheka namna ulivyo wasilisha uzi wako (masokorindo) kiukweli Lufufu alifungua njia ya ridhiki kwa vijana kuhusu hii sanaa. Huyo Dj Mack pia muongo sana ukimfuatilia kuna jamaa anaitwa Babuu Dj huyu anapita kwa kile kinacho onyeshwa. Mwisho wa yote acha waendelee kutoa burudani.Nilipomjua Dj mack nilipenda utafsiri wake nikaachana na rufufu. Hao madj wa arusha hata siwaelewagi.
Naitwa DJ mark kuku ngwendo wa zabanga aka jogoo
Napatikana Mtoni mtongani karibu na bank ya BOA
Leo nakuletea muvi inaitwa zombiz town,Hatari wanaumeeeeeee!!! Wanakuuuuujaaaa!!
Jamaa ana sauti nzuri ya kutafsiri
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Naam kupitia yeye watu wamejiajiri wengi sana. Shida rufufu alikua anatafsiri muvi za kichina na kivita tu tena zile za zamani kabisa. Unaweka li VHS lako hapo linakoroma balaa kwaliti mbayaKwanza nimecheka namna ulivyo wasilisha uzi wako (masokorindo) kiukweli Lufufu alifungua njia ya ridhiki kwa vijana kuhusu hii sanaa. Huyo Dj Mack pia muongo sana ukimfuatilia kuna jamaa anaitwa Babuu Dj huyu anapita kwa kile kinacho onyeshwa. Mwisho wa yote acha waendelee kutoa burudani.
Ukute picha ni la kivita kama Missing in action ya Chuck Norris, hapo ndio imetafsiriwa na Lufufu, balaa lake sio la nchi hiiπ₯π₯π₯Enzi hizo ulikua ukisikia "Wapeeeenzi watazamaji ndugu zangu wapendwa, mukandara rufufu videotek iliyopo katika jiji la daresalama inakuletea muvi ya Masokorindo (Deadly Prey)"
Kinachofuata hapo ni uongo uongo tu kwenda mbele halafu mwisho anamalizia "Imetafsiriwa na Rufufuuuuuuuuu Rokobhambabheja"π π
Jamaa alikua anatfsiri uongo sema anainogesha muvi hadi unaipenda. Kuna muvi moja jamaa alisema Get out Rufufu akasema "Nitakumaliza mara moja"π
View attachment 1992356
Akamuingiza kwenye "akanyampasira" unanipeleka wapi nakupeleka kwenye kisima cha ma...... mbaπ π π yaani hapo hadi watu ukumbini tunaitikia kisima cha ma-mba.Ukute picha ni la kivita kama Missing in action ya Chuck Norris, hapo ndio imetafsiriwa na Lufufu, balaa lake sio la nchi hiiπ₯π₯π₯
Mathias jambakaAkamuingiza kwenye "akanyampasira" unanipeleka wapi nakupeleka kwenye kisima cha ma...... mbaπ π π yaani hapo hadi watu ukumbini tunaitikia kisima cha ma-mba.
No retreat No surrender 2 hiyo
DJ mark bonge Fulani hivi ..nafanana sn na Mzee yusuph...ni kwa mara nyingine tena dj mack aka kidume nawaletea dubawana hili hapa linaitwa Van Helsing
Wanakuuuuuuuja anaume
Namkubali sana mwamba, muvi ya Kwanza kuiona ametafsiri yeye inaitwa Bear. Nilipenda utafsiri wake rufufu simpendi sababu alikua anakelele halafu anatfsiri matukio sio maneo. Nilipokuja kumuonadj mack nikaww disappointed kweli muonekano na sauti tofauti kabisa. Inaonyesha jamaa ni mgida keivant mzuri sana
Bila dj mack inawezekana tusngezijua muvi za mazombi + Mavampaya
Jamaa fiksi sana yule,alitudanganya ile movie ya commando ya Anord Shwazneger yule jamaa black alikua hacheki anaitwa Massawe kumbe jamaa anaitwa Bill Duke.Nimesahau hilo jina la Kapten bwana, muongo sana huyu jamaa. Kwenye Deadly Prey alituaminisha yule lieutenant anaitwa Masokorindo (mavi ya kuku) π
Wa Arusha namuelewa ni Dj Ommy. Nisiemuelewa kabisa ni Baba Mirinda, jamaa kapooza yule, fani kama hizi inatakiwa uchangamkeNilipomjua Dj mack nilipenda utafsiri wake nikaachana na rufufu. Hao madj wa arusha hata siwaelewagi.