NyugunyuIla lufufu kwenye fani ni Kama Bob Marley na reggae jamaa kahasisi fani ya utafsiri movie.
Maneno Kama Kanyabazongo... Kaliiinya!..
He was so talentedEnzi hizo ulikua ukisikia "Wapeeeenzi watazamaji ndugu zangu wapendwa, mukandara rufufu videotek iliyopo katika jiji la daresalama inakuletea muvi ya Masokorindo (Deadly Prey)"
Kinachofuata hapo ni uongo uongo tu kwenda mbele halafu mwisho anamalizia "Imetafsiriwa na Rufufuuuuuuuuu Rokobhambabheja"😅😅
Jamaa alikua anatfsiri uongo sema anainogesha muvi hadi unaipenda. Kuna muvi moja jamaa alisema Get out Rufufu akasema "Nitakumaliza mara moja"😂
View attachment 1992356
Utakuwa wa juzi wewe mkuu...Zamani hizo VHS ndo zilikuwepo peke yake.Naam kupitia yeye watu wamejiajiri wengi sana. Shida rufufu alikua anatafsiri muvi za kichina na kivita tu tena zile za zamani kabisa. Unaweka li VHS lako hapo linakoroma balaa kwaliti mbaya
Huyu ni habari nyingine,ndio godfather wa hiyo industry kenyaMliwahi kumsikia dj Afro wa Kenya?
Hatari sana huyu jamaaHuyu ni habari nyingine,ndio godfather wa hiyo industry kenya
Hivi kumbe wakenya nao huwa wanatafsiriwa movies?nikajua wote wanajua English.Mliwahi kumsikia dj Afro wa Kenya?