Matokeo mapya kabisa ya utafiti yaliyotangazwa kwenye jarida la Clinical Oncology yanathibitisha uhusiano mkubwa kati ya kansa ya koo na virusi vya HPV 16 na HPV 18.
Virusi hivi pia vinahusika sana na kansa ya kizazi.
Kwa ufupi kabisa ACHANA NA NGONO YA KINYWA kama unapenda kuishi.
Maelezo zaidi: http://www.m.bbc.co.uk/news/health-23374920
How about Smoking? Napata wasiwasi mkubwa na Tafiti hizi kama hazina malengo ya kubadilisha mtazamo wa watu ili ionekane tatizo kubwa la gonjwa la Koo ni Tabia ya Ngono ya Kinywa.
Note. Si shabikii Ngono ya Kinywa.
Naam. Pombe na sigara pia ni vyanzo vingine vya kansa ya koo.
PLAY YOUR PART (cheza nafasi yako/ timiza wajibu wako katika vita dhidi ya kansa)
When reading results of scientific findings, make sure you don't confuse association and causality. For example oral contraceptives are associated with cervical cancer but they don't cause cervical cancer.