kichwat
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 1,819
- 588
Matokeo mapya kabisa ya utafiti yaliyomo kwenye jarida la Clinical Oncology na kutangazwa LEO tarehe 21 Julai 2013, yanathibitisha uhusiano mkubwa uliopo kati ya kansa ya koo na virusi vya HPV 16 na HPV 18.
Virusi hivi pia vinahusika sana na kansa ya kizazi.Vyanzo vingine vya kansa ya koo ni pombe na sigara.
Kwa ufupi kabisa ACHANA NA NGONO YA KINYWA kama unapenda kuishi.
Virusi hivi pia vinahusika sana na kansa ya kizazi.Vyanzo vingine vya kansa ya koo ni pombe na sigara.
Kwa ufupi kabisa ACHANA NA NGONO YA KINYWA kama unapenda kuishi.