Imethibitika: 35% ya KANSA ya koo inasababishwa na virusi vya HPV (oral sex lovers beware)

Imethibitika: 35% ya KANSA ya koo inasababishwa na virusi vya HPV (oral sex lovers beware)

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
Matokeo mapya kabisa ya utafiti yaliyomo kwenye jarida la Clinical Oncology na kutangazwa LEO tarehe 21 Julai 2013, yanathibitisha uhusiano mkubwa uliopo kati ya kansa ya koo na virusi vya HPV 16 na HPV 18.

Virusi hivi pia vinahusika sana na kansa ya kizazi.Vyanzo vingine vya kansa ya koo ni pombe na sigara.
Kwa ufupi kabisa ACHANA NA NGONO YA KINYWA kama unapenda kuishi.
 
chumvini NOMA!
Nenda chumvini UFE.
 
Matokeo mapya kabisa ya utafiti yaliyotangazwa kwenye jarida la Clinical Oncology yanathibitisha uhusiano mkubwa kati ya kansa ya koo na virusi vya HPV 16 na HPV 18.
Virusi hivi pia vinahusika sana na kansa ya kizazi.
Kwa ufupi kabisa ACHANA NA NGONO YA KINYWA kama unapenda kuishi.
Maelezo zaidi: http://www.m.bbc.co.uk/news/health-23374920

How about Smoking? Napata wasiwasi mkubwa na Tafiti hizi kama hazina malengo ya kubadilisha mtazamo wa watu ili ionekane tatizo kubwa la gonjwa la Koo ni Tabia ya Ngono ya Kinywa.

Note. Si shabikii Ngono ya Kinywa.
 
Naam. Pombe na sigara pia ni vyanzo vingine vya kansa ya koo.

Wanachofanya watafiti ni muendelezo wa vita dhidi ya uvamizi mkubwa wa kansa katika wakati tulionao. Wajibu wao ni kutafiti na KUBAINISHA tabia/vitu/mazingira hatarishi (risk factors) ili kupunguza idadi ya wagonjwa wa baadaye, wakati tukisubiri dawa zigunduliwe.

PLAY YOUR PART (cheza nafasi yako/ timiza wajibu wako katika vita dhidi ya kansa)
 
Naam. Pombe na sigara pia ni vyanzo vingine vya kansa ya koo.

PLAY YOUR PART (cheza nafasi yako/ timiza wajibu wako katika vita dhidi ya kansa)

You are very right but keep in mind sometimes this reseachers do there work under influence of Business Men and Women for the sake of Money.
 
When reading results of scientific findings, make sure you don't confuse association and causality. For example oral contraceptives are associated with cervical cancer but they don't cause cervical cancer.
 
Duh! kumbe jamaa fiksi zao tu, ngoja tuendelee na raha zetu, wasitutishe bana.
 
Back
Top Bottom