Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Anasema hapa kazi tu!Halafu yeye kaenda kujificha Dodoma kukwepa Corona!Tanzania kuna shida. Jamaa yuko tayari watu wafe ila hela iendelee ingia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
serikali inasubiri nini kuzuia watu wasitoke ktk miji iliyo athirika kama dsm ili kuzuia maambukizi zaidi?
maana tayari maambukizi yanaenea sasa
Sent using Jamii Forums mobile app