achani uwoga wa kijinga huko marekani kila mwaka zaidi ya watu 30000 hufa kwa mafua natekinologia ipo mbona huwa hamuogopi leo kisa vitisho vya mainstream media mje mtutishe hapa bongo kama huo ugojwa upo bongo basi hauna madhara mana ugojwa hatari unapo kuwepo mahali hauwezi kufichika ukiona ugojwa unafichika jua hauna madhara mbona nchi nyingi tu africa hazina mambukizi mengi japo zina tekinologia duni jiulize hapo kwanzaKama Wachina na teknolojia waliyo nayo wali introduce Lockdown na bado 3200+ wakafa....seuze Tanzania and other African countries??
Kwa sasa Mmarekani mwamba #2 wa Teknolojia ameanza kuhangaika na alikuwa akiwacheka Wachina kwa kuwaambia CORONA VIRUS NI VIRUSI VYA WACHINA......!!!
Mungu hadhihakiwi...Makonda must watch his silly mouth otherwise he gonna experience as same as Trump in the USA....!
Sent from my CPH1903 using JamiiForums mobile app