Liko wazi mbona!Huwa hakai Dodoma,iweje sasa?Hivi mnaamini kabisa kwamba amekimbia Covid-19?
Kwani kabla ya mlipuko wa huu ugonjwa hawakuwa wanaenda Dodoma?
Kwahiyo Covid-19 haipo Dodoma au haitafika Dodoma?
Acheni propaganda za ajabu!
Una uhakika na ulichokiandika?Liko wazi mbona!Huwa hakai Dodoma,iweje sasa?
ok upo dar so wht? unataka tulog out city au? ugonjwa upo ila hauna madhAra makubwa kwa sabAb ya taahadhAri zinazochukuliwa na serikal...
kunawatu hum hamfikrii vyemA madhara yA kulockdown city... serikali inataarifa nyingi kuliko mimi na ww...
ni kwel upo ila hauna madhara...
Huu ugonjwa tukubali au tukatae, ukweli ni kuwa watu Weusi madhara ni madogo sana kwani tuna miundombinu ili ambayo imeufanya ugonjwa usifanywe Massive killings? Wazungu wanacash na wanaangamia, sisi tuna nini hasa? Huu ugonjwa haiyumkini kuwa Africa uliingia mapema zaidi ya America and Europe!
Eti Nigeria wagonjwa 4, wana nini special? Life Lao ni la kiafrica tu na population yao ni kubwa tu!
Tension tuliyonayo ni kubwa ila Mungu aombwe ugonjwa uishe, tusichanganye taarifa kwani hatuna Miundombinu ya kuhimili haya magonjwa ya Mlipuko.
#africaisstillpoor #letsprayforcorona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio!Mpaka tukawa tunahoji kwanini hahamii Dodoma wakati ikulu ya huko imekamilika?Subiri upepo wa Corona uishe uone atakavyorudi Dar kwa kasi!Una uhakika na ulichokiandika?
Mbona lakini kuna kipindi alikaa Dodoma?Ndio!Mpaka tukawa tunahoji kwanini hahamii Dodoma wakati ikulu ya huko imekamilika?Subiri upepo wa Corona uishe uone atakavyorudi Dar kwa kasi!
Taarifa inatolewa kila inapokuwepo na ukitaka taarifa zaidi tembelea wizara ya Afya au wapigie simu wao au ofisi ya waziri Mkuu.Hatutaki serikali itufanyie kitu ingawa ni jukumu lake kufanya kitu.
Serikali inatakiwa kutoa taarifa za kweli kwa wananchi wake. Kumbuka ban ya Marekani imechangiwa na kuficha taarifa za mgonjwa wa Ebola.
Leo hii Italia wanalia kama watoto wadogo kwa janga la corona.
Uzuri hii kitu haichagui umri, wadhifa wala uwezo wa kiuchumi, hivyo hata hao wanaoficha jamaa kesha gonga hodi mlangoni mwao.
Ugonjwa upo na unaendelea kupenya hadi vijijini.....baridi haijaanza ila cases za pneumonia zipo na zinakula maisha ya watu....Jiongezeni Watanzania...Wanasiasa hawana huruma, wako kwa ajili ya matumbo yao.
Dawa ya mafua inafahamika! Wapewe hiyo dozi kwisha!Naungana na mkurugenzi wa WHO na waziri wa afya Burundi kuwa "maambukizi Afrika yako chini kwa sababu watu hawapimwi" na ikiwa hawapimwi hata ikitokea wakaugua wakafa wanakuwa treated as other cases.
Hiyo tunaambiwa kwa maneno,ila kivitendo jamaa anaisha Ikulu Dsm!Hakuna wakati amekaa Dodoma siku hizi zote isipokuwa sasa!Mbona lakini kuna kipindi alikaa Dodoma?
Makazi rasmi ya Rais wa JMT kwa sasa no Dodoma, hili nalo haulijui?
Taariga inatolewa kila inapokuwepo na ukitaka taariga zwidi tembelea wizara ya Afya au wapigie simu wao au ofisi ya waziri Mkuu.
Media za.kijamii zina habari mpya kila dakika, amini usiamini.
Muhimu ninkuwa corona ameingia Tanzania na si Watanzania wote waliopimwa kwa hiyo huwezi kuelewa nani ana corona na nani hana, kinachotakiwa ni wewe binafsi kujikinga na kuikinga jamii.
Ni nini ulichofichwa na serikali?
jd41, Je, Mbowe alificha ugonjwa wa korona nyumbani kwake (mwanae mgonjwa) kwa siku 5, pamoja na kwamba mama wa mtoto ni daktari?
Lawama za kitoto hizo!!
Kama huiamini serikali ni heri umuulize Mbowe maana mwanawe ndiye alikuwa na wao huko quarantine.Yes, corona ameingia. Je, wako wangapi? ati ni kweli wote 12 wamepona?
Tatizo la huu ugonjwa unaanzaga kana mzaha tu,,Trump mwezi mmoja nyuma alisema Ni hoax,,Leo marekani ndo inaelekea kuongoza kwa maambukizo.
Kuna article moja inaelezea huo ugonjwa unaposhambulia mwilini hatua kwa hatua,,very depressing.
Yaani ukiupata Ni kuomba uishie kwenye mild stage,,uki advance mpaka kwenye mapafu bila ventilator uwezekano wa kupona Ni mdogo sana.lakini inafika stage mapafu yanacollapse na hiyo ventilator inakuwa Tena sio msaada.
Mimi nishajiweka off the grid kitambo