Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

Kuna taarifa yeyote ya kifo kutokana na Corona?
Niliwasikia watu wawili wakihadithiana hapa Dar, mmoja akisema ana mdogo wake anahema sana kwa short breathe (Utadhani Samaki aliye nje ya maji) akawa na wasiwasi kuwa huenda ile ni Corona.

Mimi katika kutumia common sense nikahisi something must be wrong!.
JAMANI KUNA PROBABILITY KUBWA CORONA IKO MITAANI DAR

Na kitendo cha hii Serikali kuchukua hatua nusu nusu kama vile kuchelewa kufunga mipaka tutakufa wengi, hali itakuwa mbaya

Ishu ya mtoto wa Mbowe ambaye anasema hakusafiri nje ya nchi mwaka huu mzima inamaanisha kuwa kaupata humuhumu nchini kwa hiyo maambukizi ya ndani ya nchi yameshaanza. Ni hatari sana ndugu zangu.

Tutakufa kama kuku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia ya mtoto hawajawahi kutoka nje?

Familia wengine wameenda gerezani huko vipi?

Familia wengine walikuwa wanaenda mahakamani hapo je?

Familia wengine walikuwa wanachangamana wanaharakati

Que ni ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kusema kwamba hiyo korona ipo na kwa mwenyekiti?? Mwenyekiti awekwe karantini??
 
Corona inaonekana ipo Dar tangu November 2019.

Kuna tamko la wizara lilielezea ugonjwa kama huu.

Betty Mkwasa alipewa majibu na daktari mmoja Facebook December 15 2019 kuhusu kuumwa ugonjwa wenye dalili zote za Covid-19.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Ugonjwa umeingia nchi ya wajuaji kila mtu kawa Doctor,hata ushauri wa ma Prof, hauzingatiwi.
Wanasiasa nao wamechukua nafasi ya ma Doctor.
 
Hauwezi kumnasa kibao mtu mzima mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 halafu ukabaki salama, lazima uweuke tuu.
 
Mbowe aseme ukweli huyo mtoto wake kaipatia wapi.Kama ipo mitaani Dar kwani inafichika? Mbowe aseme ukweli tu au sisi tutausema kaipatia wapi!
 
Naungana na mkurugenzi wa WHO na waziri wa afya Burundi kuwa "maambukizi Afrika yako chini kwa sababu watu hawapimwi" na ikiwa hawapimwi hata ikitokea wakaugua wakafa wanakuwa treated as other cases.

Hii Ni hoja kuntu!
Ndo maana mm nulikuwa nashangaa eti M-7 alikuwa Hana mgonjwa hata 1 ilhali nchi jirani zote Wana maambukizi...kumbe jamaa hawajapima....!
Mm nina mashaka Sana na hizi Takwimu za Bongo! Inawezekana hatuambiwi the correct figure!
 
Return Of Undertaker,
Bila lockdown haponi mtu.

Narendra Modi(Indian PM)katangaza Lockdown jana kwa Watu zaidi ya 1.3B bila kuangalia dunia itasema Nini!
Halafu hapa kwenye nchi ya watu 50m+ Magufuli anasema hakuna Lockdown watu WAENDELEE Kuchapa Kazi tu.....wakti yeye amekimbilia kujificha kwenye Mawe Idodomya...! Very coward presida.
 
Hatarioz....iko Dar na takwimu zao za maambukizi zinatia shaka. Halafu mtoto wa baba, anapiga kampeni danganyifu..

badala ya kuhimiza kujikinga na nini cha kufanya endapo utahisi una maambukizi. Eti atapuliza dawa, anafikiri hii ni malaria, dengue au kipindupindu?

Everyday is Saturday 😎
Kwa hiyo kupuliza dawa siyo solution
Niliona hata China, Dubai wanapuliza mtaani
 
Kwa hiyo kupuliza dawa siyo solution
Niliona hata China, Dubai wanapuliza mtaani
Mkubwa kwa hiyo ulivyoona wanapuliza dawa ukaona bora nawe uje kututangazia mtafanya hayo??

Nikuulize dawa inaitwaje, wakati serikali ikijipanga tueleze na sisi tukanunue tuanze kupuliza majumbani?? Au serikali ya jiji la Dar itagawa bure??

Nina uhakika una majibu sahihi...

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Back
Top Bottom