Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

Inakuwaje uchukue mamlaka ya kutangaza corona wakati muongozo ulikwishatolewa?,ok hao uliowataja ndio hao walio kwenye orodha ya wizara ya afya? Tuwe serious hii ngoma ni noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda karopoka bila kujua ametoa siri, Corona ipo mitaani Dsm, ndio maana Rais akaenda kujificha kwenye mawe Dodoma, matokeo yake uropokaji wa Makonda unaleta tension kwa wakazi wa Dsm, wakati lengo la serikali lilikuwa watu wasijue kama Corona ipo mitaani Dsm.

Kutafuta sifa za kijinga kumemuaibisha na kuwaaibisha wote waliohusika kutoa taarifa za mtoto wa Mbowe, na Mbowe nae kamalizia kwa msumari mtoto wake hajatoka nje ya nchi mwaka mzima, kwahiyo kaipatia humu humu ndani, sasa kazi ipo kwa wakazi wa Dsm kujihakikishia usalama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.
 
Acha uongo wewe, mikutano ilitangazwa kabla ya tangazo la mgonjwa wa kwanza wa corona, hayo mahaba niue ya cc majambazi yatakuua kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.
Una Elimu ya kiwango gani? Maana umeandika upupu tupu!
 
Huku mikoani ipo tayari......
Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya.

Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi.

Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma.

Mara namsikia Makonda anatangaza kupuliza dawa mitaani.

Kwa sasa watanzania tuwe macho Corona iko mitaani Dar na itaenda mikoani soonView attachment 1398648

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Kwani ni uongo, Mbowe alikuwa anaamini Serikali kuzuia Mikutano ya hadhara ni janja ya kutoruhusu mikutano ya hadhara na ndiyo maana alisisitiza lazima kuanzia tarehe 4.04.2020 alitangaza kuanza mikutano ya hadhara. Alilipinga Tangazo la Waziri kuwa hawatolifuata.
Na baada ya Mtoto wake kupata Corona ndipo alipogundua na Kuhudumiwa kwa Upendo na tahadhali ya Juu, ndipo akagundua kwamba kumbe siyo utani.
In that Sense Makonda kumuumbua huyo Kanjanja wa Siasa ni poowa tu ili liwe fundisho kwa Wengine.

Kutumbukiza mambo ya siasa kwenye ugonjwa unao tishia kufuta wanadamu karibu wote Duniani, binafsi nawachukulia binadamu kama hao wana ukosefu mkubwa wa busara na ni wajinga walio kubuhu.
 
Suala la Corona tunalifanyia mizaha mingi kwa sasa lakini siyo Jambo la kupuuzwa kwa kiwango hicho,tahadhari tunazozichukua bado haziridhishi,baadhi ya watu hawana uelewa wa kutosha,Jana kwenye stendi ya Mbezi mwisho nimeshuhudia baadhi ya watu wakikataa kunawa mikono kabla ya kupanda magari,Ni hatari.
Hivi unanawa mikono halafu ndani ya gari mtu tayari ni muathirika na anapiga chafya za kutosha kunawa mikono kunasaidia nn jamani?

Hii kampeni ya kunawa mikono haiwezi kuwa na matokeo mazuri haiwezi kuwa effective kuzuia covid-19 katika dunia ya tatu.

Serikali inunue vifaa vya kutosha vya kupima abiria kabla hajazama ndani ya gari akithibitika apigwe chini apelekwa carantini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu corona sio ugonjwa wa mwaka huu.
Ni hata mwaka 2013 ulikuwepo..
Ni ugonjwa unaokuja na kupotea.
SEMA UGONJWA WA MWAKA UMEKUWA MKALII SANAA..
Ugonjwa umeingia nchi ya wajuaji kila mtu kawa Doctor,hata ushauri wa ma Prof, hauzingatiwi.
Wanasiasa nao wamechukua nafasi ya ma Doctor.
20200329_082740.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom