Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Kikwete yeye mwenyewe nafsi inamuhukumu,kwa aliyomfanyia Lowassa,Kikwete ni katili sana,sampling ya muovu
 
Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
Watanzania gani unatesemea, kama Jk alisababisha ENL asiwe raisi basi kwahilo Moja alitutendea wema watanzania. Maana kama alimkata Fisadi mwenzie asiwe raisi basi nijambo jema nalakupongezwa.
 
Mbona umetaharuki sana na kufoka kwa maandishi?Be easy!
 

Katiba mpya ni MCHAKATO
 

Katiba ni mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…