Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Unajuaje kama hawa “watu wa mitandaoni” wanaomkumbatia EL wanaiamini CHADEMA’s list of shame? - Kwamba nao wanakubali EL ni fisadi.Nadhani baadhi ya watanzania hasa hili kundi la mitandaoni hawako objective na hawajielewi wanataka nini.
Nj watu wa mihemko na matukio. Hawana kumbukumbu, hawana kanuni Wala itikadi wanayoiamini!
Kila kinachopumbaza nafsi zao Wanakiendea.
Kundi hili lina-mmiss Magufuli, LAKINI wkati huo huo linajifanya kulaani kukatwa kwa Lowassa.
Hivyo vitu ni mutually exclusive! Huwezi vipata vyote!
Magufuli na Lowassa wasingeweza kuwa Marais wakati mmoja!
Mnajufanya kuchukia ufisadi, halafu mnamkumbatia fisadi namba 1 according to CHADEMA's list of shame!
Enyi wehu nani amewaroga?
Je, wewe binafsi unaiamini hiyo CHADEMA’s list of shame? Unaamini EL alikuwa fisadi namba 1? Btw jina la EL liko namba 8 kwenye hiyo CDM List of Shame.