Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Unajuaje kama hawa “watu wa mitandaoni” wanaomkumbatia EL wanaiamini CHADEMA’s list of shame? - Kwamba nao wanakubali EL ni fisadi.

Je, wewe binafsi unaiamini hiyo CHADEMA’s list of shame? Unaamini EL alikuwa fisadi namba 1? Btw jina la EL liko namba 8 kwenye hiyo CDM List of Shame.
 
Tatizo linapo kuja kuwa Kàna kwamba JK ndiyo kamuua EDO ,Wakati jamaa kafariki kama ilivyo Kwa watu Wengine.
Nchi hii waliotaka kuwa Marais ni wengi, Sasa iweje Edo TU kufariki JK anaandamwa kana kwamba yeye kaua?
Huwezi kusema JK alimsaliti mwenzie, Mazingira ndiyo yaliamua.Watanzani Hawa kusema Nchi watu wapokezane kàma mali Yao ya Urithi hapana.Kikundi Cha watu Kwa Maslahi Yao Binafsi walimpambania Edo,lakini ki ukweli watanzania hawakumtaka.
 
Kikwete yeye mwenyewe nafsi inamuhukumu,kwa aliyomfanyia Lowassa,Kikwete ni katili sana,sampling ya muovu
Alimfanyia nini wewe K? JK alikuwa Rais na Lowassa alipewa uwaziri Mkuu, au ulitaka ateuliwe kuwa mke wa 3 wa JK??
 

Umejuaje kama alinyimwa; what if JK hakutaka kuongea tena ?
 
HAYA SASA NDIO MATATIZO YA AKILI.
 
Vichekesho hivi...
 
JK apambane na Lowassa? Lowassa alizidiwa kila kitu na Kikwete.
Umri
Madaraka
Hata Jeshini Kikwete aliku mkubwa.

Hivi huwa mnatumia akili kweli?
Mwaka 1995 kati ya Lowassa na Kikwete mtu maarufu alikuwa Kikwete kuliko Lowassa, haijawahi kutokea Lowassa akamzidi Umaarufu Kikwete hata siku moja.
 

Watakuwa wanadhan mvi ni umri

Lowassa ana asili ya mvi; Fredy anamvi nyingi kuliko JK.

But in Truth JK is older than Edo , JK is 74 kama sikosei while Edo is 71
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…