Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

It's very disturbing, hivi unaondokaje nchi yako ukitembelea nchi nyingine for days? I'll iweje...safari ya kikazi, hata kama ni hiyo tour, not more than 2days umerudi kwenye majukumu yako.

The real image of a normal Tanzanian inaonekana dhahiri hapa, tunapenda "kupumzika na kutembelea"!

Shame!
Huwa huoni Rais wa Nigeria anaondoka Nchini to Infinity? Pengine kuna masuala ya kiafya unajuaje?
 
Mungu ndie anajuwa kwann huyu mtu kawa rais mungu anajuwa Aina ya rais watz wanataka Sasa tutulie na kushukuru sanaa
 
Kwa upande wangu naona jimbo moja tu lingetosha kuzindulia hiyo Filamu, hayo ya kutembea na kuzindua filamu hiyo hiyo katika majimbo mawili tofouti, ulikuwa mkakati wa wahuni ili waendelee kufuja fedha za umma.

Pia ukiangalia dhumuni la safari ya mama ilikuwa kuzindua filamu tu ila katikati hapo wahuni hao hao wamechomeka ratiba zao kumtembeza katika maeneo mbalimbali ya marekani kumkutanisha na celebrities kwa ajili ya kupiga nae picha.

Kwa ufupi safari hii haikupaswa kuchukua wiki mbili siku tano ilitosha kabisa na kuweza kurudi nyumbani.
Sahii kbsa hata siku tatu
 
Kuna ndugu yetu mmoja living Cha jk alikuwa kila jk akienda nnje bas jamaa anarudi na Costa mbili mpya kbsa

Sas HV anamiliki mabus makubwa
 
Mm natokea Kanda ya kazkazin movie hyo ninmuhimu San vijan wangu wadau wa utalii uwaambii kitu dhid ya Safar hyo
 
Hivi mama bado yuko ughaibuni?
Nadhani sasa anawachosha hata wenyeji wake. Sio jambo la kawaida kuwa na ugeni sensitive kama huo katika nchi yako kwa mda mrefu hivyo.
Hivi ni nani anakaimu ofisi kisheria au tunaenda kwa Autopilot? Kama ni VP, lazima iwe kimaandishi/gazeted.
Wengine hawajali kabisa hata uzito wa nafasi zao. Anakabidhi Ofisi kwa msg.[emoji846]
 
Acha ajifunze jinsi Demokrasia ,haki na uhuru wa watu vinavyoweza kusaidia Taifa Kupiga hatua.

Tunataka haki na Demokrasia ya kweli sio upumbavu uliotufanya kuwa na wasomi vilaza wasiolusaidia kitu Taifa hili zaidi ya unafiki na kujikombakomba.

Pakiwa na Demokrasia ya kweli Wasomi wanafiki kama akina Mkumbo, Bashiru, Kabudi na Wengine watarudisha akili zao. Mana itakua ni ama ukweli au uwongo. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Wananchi wataamua Kwa sera sio vitisho vya Sasa. Watu wanajua ukweli lakini wanafanya unafiki.

Kitilya Mkumbo awamu ya Tano aliona jinsi ilivyokua sekta binafsi zilizokuwa zinatoa ajira lakini hakusema akafurahia kuona watanzania wasomi wakibaki kuwa wachuuzi wa kuuza midoli ya viwanda vya china barabarani.

Kabla ya Kitilya Mkumbo kuwa Waziri wa nchi hii Vijana Toka Lindi na Mtwara walianza kurudi vijijini na kulima Korosho walipoona Bei ya korosho na soko la uhakika. Vijana walipata pesa za uhakika na nchi iliingiza pesa nyingi za kigeni. Mkumbo na Genge lake waliua soko la Korosho na kuwafanya Vijana wa kimachinga kukimbilia Tena Dar es Salaam na kujazana mitaani kuuza yeboyebo Toka China na viatu vya plastiki huku sendo za kimasai na viatu vya ngozi Toka Lukaranga vikikosa soko.

Kama safari ya mama ni hasara Kwa Taifa basi Bunge lijadili hasara hiyo Kwa Taifa kama wanavyojadili Bodaboda kuingia katikati ya mji.

Yani uzuzie Noah kubebe abiria na Hiace kuingia katikati ya mji halafu uruhusu Bajaji na Pikipiki. Ni akili au matope.
We jamaa sijui unajadili mada gani!!
 
Yaani team yake ya washauri dah thanks god uwepo wake huko sio habari kwa wamarekani.

Hivi katika nchi yenye celebrities wote maarufu waliowahi kuja kutembelea Tanzania wanaenda mkutanisha na baba yake Rihanna.

Rihanna mwenyewe miaka michache nyuma alimfungulia kesi baba yake kutumia jina lake vibaya jambo ambalo alidai linamchafulia brand yake.

Isitoshe baba yake Rihanna ana historia ndefu ya kuwa teja tena anaetumia crack cocaine and heroin; huyo mtu si ukimpa hela mbuzi tu anakutana ata na diwani wa kata Tanzania akienda USA.

Swala la baba yake Rihanna kuwa mtu wa ovyo ata watanzania wengi vijana wanajua na miaka yote Rihanna alikuwa aongei na baba yake kama kupatana ni hivi karibuni tu.

Hawa watu wanamfanya raisi wetu na nchi kwa ujumla kuonekana kichekesho, kama hana cha kufanya si harudi tu. Yaani baba yake Rihanna ni big deal kwetu wakati tuna msanii anajiandaa kufanya kazi na Rihanna mwenyewe.

The good thing kwenye hii ziara hata wamarekani wana pata full picture kwanini kuna watu serikalini walikuwa awataki mtu kama Magufuli kwa huo ufujaji wa hela wanaoushuhudia kwenye hii ziara kutoka nchi maskini.

“To make something special, you gotta make people believe it’s special first”, yaani kitendo cha kumpiga picha raisi na baba Rihanna kama kigezo cha kusema amekutana na star mkubwa huko; ni kuivunjia heshima taasisi ya uraisi Tanzania.
Hivi huyu Baba ake Rihanna ndio alikuwa anauza nguo zake sijui za mwanae Rihanna Au nimechanganya madawa?
 
Ok tuseme uko sahihi, alipinga hizo ziara lakini alikuwa anaua raia wake. Je kipi ni kabaya kati ya ziara na uuaji wa raia wako kisa tu kakupinga?
Hata asingewauwa hao watu wangekufa tu hakuna njia ya kuzuia kifo ila njia ya kuzuia ziara ipo.
 
Back
Top Bottom