jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Apedomia era.hizi safari ni yale yale ya awamuuu ileeeeee ya yule bwanaaaa
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apedomia era.hizi safari ni yale yale ya awamuuu ileeeeee ya yule bwanaaaa
Tuwe na mipaka katika uhuru wa mawazo yetu.Mkuu!hebu muache mama kwanza Hadi azae na Joe Biden labda tunaweza pata Mwanademokrasia huku kwetu atutatulie uchu wa madaraka wa Wana ccm!!
Vip kuhusu Azori, Ben Saanane + Mh. Lissu ambaye hakufa?
Ata wewe unajua hilo swala ni la uongo vifo vilishatolewa maelezo na video zipo za watu waliokamatwa kwa ubebaji haramu.
mzee wa msoga aka Jaakaya au muzazi mwenza wako huko eti eh! Jamaa mtaaluma wa ile mijambo muache madam afurahie! Madam Fatma kafunikwa jumla!Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Je atafika Miami Beach?Bado jamani, angalau afike na Disney World 🌏
Nilitaka kuweka hilo nilijua tu utakuja na hayo majina mawili; umesahau na wahanga wa Kibiti.Vip kuhusu Azori, Ben Saanane + Mh. Lissu ambaye hakufa?
Wanawake hoyeeeNadhani watanzania wanaoishi NY kama kuna wanazi wa siasa za Tanzania wanaokutana na hao watu private watakwambia kufuru ya msafara halisi na posho zao.
Sikia tu raisi anapoondoka airport unamuona pekee yake, ila mijitu iliyotangulia mbele yake kutoka kitengo cha raisi inaweza fika ata 50.
Na kwenye hizi ziara za matukio mengine ambazo zina wizara na taasisi mbalimbali sijui fedha, biashara, afya na watu wa mbugani huko mpaka siku uone wakiwa nje ya nchi kama ujawahi kuwaona ndio utaelewa kwanini Magufuli alizipiga marufuku hizi trip.
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Wewe ni mpumbavuUlikuwa na point ila umeharibu mwishoni kwa kumtaja na kuonyesha kuwa wewe ni mfuasi wa shetani (Jiwe)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmeamini tz inaweza kujiendesha bila rais hata kwa miaka 30ana bahati amekua rais kwenye nchi ya makobe,,,,,,maeneo kama Gabon huko angekuta ikulu ina watu wengine,,,,vyombo vyake vyote vipo nje
Tutajie raia 5 aliowauaOk tuseme uko sahihi, alipinga hizo ziara lakini alikuwa anaua raia wake. Je kipi ni kabaya kati ya ziara na uuaji wa raia wako kisa tu kakupinga?
Hao ni watu wakukariri vitu ambavyo wanatunga vichwani mwao bila ya ushahidi wowote.Tutajie raia 5 aliowaua
Hivi haki unaweza kuinwea chai, nauliza tu lakini [emoji848]Acha ajifunze jinsi Demokrasia ,haki na uhuru wa watu vinavyoweza kusaidia Taifa Kupiga hatua.
Tunataka haki na Demokrasia ya kweli sio upumbavu uliotufanya kuwa na wasomi vilaza wasiolusaidia kitu Taifa hili zaidi ya unafiki na kujikombakomba.
Pakiwa na Demokrasia ya kweli Wasomi wanafiki kama akina Mkumbo, Bashiru, Kabudi na Wengine watarudisha akili zao. Mana itakua ni ama ukweli au uwongo. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Wananchi wataamua Kwa sera sio vitisho vya Sasa. Watu wanajua ukweli lakini wanafanya unafiki.
Kitilya Mkumbo awamu ya Tano aliona jinsi ilivyokua sekta binafsi zilizokuwa zinatoa ajira lakini hakusema akafurahia kuona watanzania wasomi wakibaki kuwa wachuuzi wa kuuza midoli ya viwanda vya china barabarani.
Kabla ya Kitilya Mkumbo kuwa Waziri wa nchi hii Vijana Toka Lindi na Mtwara walianza kurudi vijijini na kulima Korosho walipoona Bei ya korosho na soko la uhakika. Vijana walipata pesa za uhakika na nchi iliingiza pesa nyingi za kigeni. Mkumbo na Genge lake waliua soko la Korosho na kuwafanya Vijana wa kimachinga kukimbilia Tena Dar es Salaam na kujazana mitaani kuuza yeboyebo Toka China na viatu vya plastiki huku sendo za kimasai na viatu vya ngozi Toka Lukaranga vikikosa soko.
Kama safari ya mama ni hasara Kwa Taifa basi Bunge lijadili hasara hiyo Kwa Taifa kama wanavyojadili Bodaboda kuingia katikati ya mji.
Yani uzuzie Noah kubebe abiria na Hiace kuingia katikati ya mji halafu uruhusu Bajaji na Pikipiki. Ni akili au matope.
Rais pekee wa kiafrika kwa miaka ya hivi karibuni aliyeelewa maana halisi ya kuwa head of state.This is very true, ndiyo maana tukajikuta tunaongozwa na mtu kama Jiwe
Kuna washauri wake wanamtega aingie mkengeSipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.
Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Hivi mama bado yuko ughaibuni?It's very disturbing, hivi unaondokaje nchi yako ukitembelea nchi nyingine for days? I'll iweje...safari ya kikazi, hata kama ni hiyo tour, not more than 2days umerudi kwenye majukumu yako.
The real image of a normal Tanzanian inaonekana dhahiri hapa, tunapenda "kupumzika na kutembelea"!
Shame!