ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Namuona anapiga selfie na baba yake Rihanna! Dah yale yale ya mkwere na 50 Cent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa tulia.Magufuli alienda Mbeya Mara ngapi?
Mbeya Kuna nini mkuu. Rais huyu ana akili Sana siyo yule populist wenu muuajiTangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka Dar
Yeah, kwani kafika hapo kwa kushindana na kushindanishwa? Maisha ni awkward namna hiyo kwamba mnaweza jikuta mnaongozwa na mtu wa ajabu ajabu.Wewe mwenye akili kubwa upo tu unaongozwa na mwenye akili ndogo. Hapo utajua nani mwenye akili kuwa na nani ana akili ndogo
Mimi siyo mnyonge, kama nauli kupanda kwako ni ishu jua siyo kwa wote. Kwangu labda ungesema petrol kupanda japo pia siyo ishu sanaShangazi yangu mbona hasira asbh asbh!!au nauli imepanda aunt yangu!!relax shangazi yangu huu mchezo hauhitaji hasiraaa
MwananchiNaenda kama nani?
Ni dalili ya rais muoga..incompetent.Tangu amekuwa Rais ameshaenda Marekani mara 3 lakini hajawahi kufika Mbeya tu hapo 800KM kutoka Dar
Msoga alijua kuitafuna nchi no wonder hataki kustaafu...Acheni nongwa, wenyewe wanasema hiyo ziara;
"Hakuna hata senti moja ya serikali imetumika"
Hapo bado hajaenda hata kubembea kama mkwere.
View attachment 2196028Atarudi usiku wa kuamkia Mei mosi.
Kawe Rais basiNi dalili ya rais muoga..incompetent.
#MaendeleoHayanaChama
Ulikuwa na point ila umeharibu mwishoni kwa kumtaja na kuonyesha kuwa wewe ni mfuasi wa shetani (Jiwe)Yaani team yake ya washauri dah thanks god uwepo wake huko sio habari kwa wamarekani.
Hivi katika nchi yenye celebrities wote maarufu waliowahi kuja kutembelea Tanzania wanaenda mkutanisha na baba yake Rihanna.
Rihanna mwenyewe miaka michache alimfungulia kesi baba yake kutumia jina lake vibaya jambo ambalo alidai linamchafulia brand yake.
Isitoshe baba yake Rihanna ana historia ndefu ya kuwa teja tena anaetumia crack heroin; huyo mtu si ukimpa hela mbuzi tu anakutana ata na diwani wa kata Tanzania. Swala ambalo ata watanzania wengi wanajua na miaka yote Rihanna alikuwa aongei na baba yake kama kupatana ni hivi karibuni tu.
Hawa watu wanamfanya raisi wetu na nchi kwa ujumla kuonekana kichekesho, kama hana cha kufanya si harudi tu. Yaani baba yake Rihanna ni big deal kwetu wakati tuna msanii anajiandaa kufanya kazi na Rihanna mwenyewe.
The good thing kwenye hii ziara hata wamarekani wana pata full picture kwanini kuna watu serikalini walikuwa awataki mtu kama Magufuli kwa huo ufujaji wa hela wanaoushuhudia kwenye hii ziara kutoka nchi maskini.
Nadhani watanzania wanaoishi NY kama kuna wanazi wa siasa za Tanzania wanaokutana na hao watu private watakwambia kufuru ya msafara halisi na posho zao.Ulikuwa na point ila umeharibu mwishoni kwa kumtaja na kuonyesha kuwa wewe ni mfuasi wa shetani (Jiwe)
Kwasababu walijua ni wanawake.over.Kwa nini mababu zetu hawakuwashirikisha wanawake kwenye vikao vya maamuzi
Ni mambo ya aibu snNi dalili ya rais muoga..incompetent.
#MaendeleoHayanaChama
🤣🤣🤣Halafu kutuga koote huko joe Biden hajakutana nae, amekutana na Kamala Haris kwa bahati Mbaya Tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app