Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
MPAKA WAPIGA NGOMA NA KINA IDRISA SULTAN WANARAMBA TU ASALI.

KWELI MAMA AMEAMUA KUIFUNGUA NCHI
 
Bado hajakamikisha kusaini mikataba ya KUPIGWA MNADA.
 
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.
Aendelee tujadili katiba na Mbowe amalizie kusalimia huko kwa kitaa
 
It's very disturbing, hivi unaondokaje nchi yako ukitembelea nchi nyingine for days? I'll iweje...safari ya kikazi, hata kama ni hiyo tour, not more than 2days umerudi kwenye majukumu yako.

The real image of a normal Tanzanian inaonekana dhahiri hapa, tunapenda "kupumzika na kutembelea"!

Shame!
Wewe uliyeko hapa nchini umefanya nini cha maana? Acha usukuma gang
 
Wakati mwingine nafikiri marais style za Kikwete na mama Samia huwa wanatamani Tanzania liwe jimbo la Marekani na wao kujiona kama magavana wa jimbo la Tanzania. Ogopa sana kuongozwa na mtu mwenye akili ndogo.
Wewe mwenye akili kubwa upo tu unaongozwa na mwenye akili ndogo. Hapo utajua nani mwenye akili kuwa na nani ana akili ndogo
 
Mwacheni Rais atangaze utalii. Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.

Jifungie wewe ndani uone utakavyoitaabisha familia yako.
 
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.

Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.

Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani sasa. Shughuli ya muhimu iliyokupeleka tayari imekamimilika. Shughuli ndogo ndogo kama za kutembelea viwanda vya viwatilifu hazina msingi wa kukufanya kuendelea kuwepo US.

Mhe. Rais imetosha. Unafanya mengi mema na mazuri wacha hili la kuoverstay US lisikuchafulie kwa wanaokupinga. Itoshe kusema imetosha.

Mpaka Leo sijaona mantiki ya kuzinduliwa filamu USA bora ingekuwa hata Serengeti au Arusha AICC .
 
Back
Top Bottom