Nimepiga hesabu za harakaharaka.
Delegation sio chini ya watu
Mawaziri wapo wa4(Mwigulu,Pindi Chana,Mulamula,Kijaji)-Kila waziri useme ana watu wake watano-Jumla 20.
Rais na protocol officers,wasemaji na walinzi (Watanzania) nae tuseme wako 20.
Wapiga ngoma nimehesabu wako 10.
Wasindikizaji--kina Idris et al--nao tuseme wako 10.
Watu 60---wakilala hotel ya kawaida kabisa US--roughly ni 200$---kwa watu 60 ni 12,000USD kwa siku(Siku kumi 120,000USD).
Gharama ya kukodisha ukumbi wa Guggenheim kwa usiku mmoja(walipozindulia NY)--sidhani kama inapungua 100,000USD(labda kama walipata diplomatic green flag ya serikali ya US).
Magari na security detail ya Rais(40,000USD per day kwa bei ya chini kabisa)/per car na SD mmoja.
Bado Nauli---Hawajala---Hawajaandaa vikao "hewa"---na VX zao huku bado zinaendelea kujazwa na kula misele na familia zao.
Kukisia tu hii safari sio chini ya Bilioni 3 za walipakodi walalahoi.
Mshana Jr