Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.Gen Z ilikuwa moja kwenye kuupinga mswada, lakini kwenye hili la “Ruto Must Go” Gen Z ilishagawanyika, kwenye ‘Ruto Must Go’ hiyo ni project iliyokusudiwa tangu awaki na upenyo wao wa kuanzisha haya maandamano ilikuwa ni finance bill.
nadhani yeye mwenyewe ana kiri walikua na taarifa za kutosha kuhuhusu kasumba hii,Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.
Haiwezikani vijana kaunti zote iwe moto moto afu mtu usubilie mpaka wavamie BUNGE
Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.
Haiwezikani vijana kaunti zote iwe moto moto afu mtu usubilie mpaka wavamie BUNGE
Tatizo lilianzia wakubwa walipodhani Gen Z ni comedians.kwahiyo muerevu na anaejielewa anaweza kuvunja bunge alilojenga kwa kodi yake mwenyewe kisha tena aje alijenge kwa nguvu, hali na mali yake mwenyewe? kwamba hiyo ndio IQ kubwa 🤣
kwamba muerevu na anae jielewa ameona kuna dosari na kasoro kwenye muswada wa fedha, akashinikiza vifungu vya kodi, ushuru na tozo vibadilishwa, lakini muhusika akaufuta muswada wote kama ulivyo kwa kuwasikiliza hao unaowaita waerevu wanao jielewa 🐒
sasa,
muerevu ana anaejielewa,
anavunja maduka, ma super market, majumba ya wabunge, taa za barabarani, minara ya kumbukumbu na kuchoma majengo ya Serikali ambayo yeye mwenyewe ndie atakahusika kuyajenga tena kwa gharama kubwa. huyu ndio ana IQ kubwa kweli 🤣
mie nadhani ni athari za mihemko na ghadhabu zisizo na tija zinakuchochea uone jambo hili kama unavyoliona...
kusifia uharibifu wakati mwingine ni hali zilizopo ndani ya mioyo na fikra zetu.
Mwenyezi Mungu ahuishe na kutuponya na hali hiyo, tuishi kwa Amani 🐒
kwamba kuna anaweza kuongoza nchi pasipo kutoza ushuru?Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.
View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2
tena anaondoka kabla ya saa nne asubuhi.Ruto asipo kuwa makini ataondolewa
Lakini mkuu,unajua Omondi kuzunguUpo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.
View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2
Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.
View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2
Wewe kweli maiti Kenya vyama vinabadilika ukiitishwa uchaguzi ruto Hana chake hapo atapata kura mbili tu yake na ya like wakekwamba kuna anaweza kuongoza nchi pasipo kutoza ushuru?
hata uchaguzi uitishwe leo, mkuu wa nchi alieko madarakani ndie atakaetwaa tena kiti hicho, maana ndie pekee anawaza pata kuchaguliwa maeneo yote kenya...
hawa wengine moja mwisho wake ni nyeri pekeyake, yule mwingine ukambani tu, na huyu mwingine ni wa hapo kisumu na maeneo jirani tu 🐒
wabunge wengine,
ukiachilia kuvote Yes kwenye finance bill, wamejenga, mashule, mahospitali, Baraka n.k hivyo wengi wao pia watarejea mjengoni hata kama uchaguzi utaitishwa leo...
masula ya mitandaoni na kwenye media, ni tofauti kabisa na field. Ni kama Tz tu watu wanajimwambafai mitandaoni, wakifika field utawaonea huruma, na ndio chanzo cha mihemko na matusi kuwadhihaki wananchi wasio wafahamu 🤣
kama hilo halitoshi,
huyo Eric Uchaguzi ukija akagombee kama atashinda 🤣
Ruto kuchelewa kuchukua hatua, hilo uko sahihi kabisa nakunga mkono 100%..Tatizo lilianzia wakubwa walipodhani Gen Z ni comedians.
Mh Ruto alichelewa kuchukua hatua mapema.
Na madogo wale sio kwamba waliamka tu na kuanza kuandamana rahasha.Ilipita midaharo kadha wa kadha,na baadhi ya taasisi wakaliongelea,na isitoshe ikawa habari kubwa na maangalizo rukuki.ila wahusika wakiziba masikio.
Na ilifikia wabunge wakawa wanatumiwa kumbe na katika vipindi vya Runinga zilipeperushwa malalamiko Yao,ila wakaziba masikio.
Na swala lile haliko kikabila kama zamani,ambapo tungesema Kuna namna.
Kwa jambo lile Gen Z hawana itikadi,Wala ukabila.Hivyo mh alichukua hatua baada ya kukosa namna.Hivyo wameona kumbe hana maana mpaka DAMU imwagike ndo achukue hatua.
BUNGE lilipitisha mswaada wa kuruhusu Jeshi kushika doria,je huwezi jiuliza Kwa nn Mahakama imeizuia sheria hiyo kutumika na Jeshi hawaruhusiwi kuingia mtaani na imekuwa hivyo.
Jiulize Kwanza,je Mahakama nayo ni Gen Z au Serikali ndo inatakiwa kujitafakali.
Gen Z wako sahihi ilitakiwa wasikilizwe tangu mwanzoni kabla hawajaingia mtaani.🙏
Katika hoja, Omondi anayo na ni nzuri sana. Pamoja na uzuri wa hoja, inadhihirisha kwamba tayari kulikua na mikakati imeshatengenezwa ya watu kuitangaliza Youth Generation na hapo vyombo vya usalama vilipaswa kuwa vimeshanusa na kum brief rais kuhusiana na hali ilivyo, pia huenda vilim brief lakini washauri wa rais walimshauri otherwise, na hapo ndipo unamuina Rigathi Gachagua analalamika kuwa amewekwa kando, na wala hamlaumu Ruto isipokuwa washauri wa rais ambao wengine ni wale walikuwa anawapinga wakati wa kampeniLakini mkuu,unajua Omondi kuzungu
Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.
Sema tu sikuichukua ile clip ningeipandisha hapa.Kiufupi,jamaa anajikaanga mwenyewe.
Ukimsikiliza Omondi ana hoja Tena nzito.Ambazo zinatakiwa zifanyiwe kazi.
Afu hao wengi ni jobless ndio maana wamevunja mpk maduka na kuiba vitu ,,na vijana wengi hata hapa tz ndio mawazo yaonchi yao wanaiharibu kizembe mno na hakuna atakae faidika bali wao wenyewe kujipa mateso zaidi 🐒
nyie nimaiti sasahivi ni ruto must go home.nyiemaiti tumaweza kuja kawafurumusha tz na hamna chakufanya zaidi yakukimbia ogopa kenyamfu umefufukia wap na watu wameshatoka kwenye finance bill saa nyiiingi 🤣
We kweli bwege atashinda vipi wakati raia wote wanampinga kura atapigiwa na nani kweli jomo Kenyatta hakukosea kukuita maitimimi nimetaja Ruto atashinda, haya sema wew nani atashinda nikwambie atapata kura ngapi kutoka wap 🐒
sema tu unamkubali Ormond tu,Lakini mkuu,unajua Omondi kuzungu
Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.
Sema tu sikuichukua ile clip ningeipandisha hapa.Kiufupi,jamaa anajikaanga mwenyewe.
Ukimsikiliza Omondi ana hoja Tena nzito.Ambazo zinatakiwa zifanyiwe kazi.