Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

Gen Z ilikuwa moja kwenye kuupinga mswada, lakini kwenye hili la “Ruto Must Go” Gen Z ilishagawanyika, kwenye ‘Ruto Must Go’ hiyo ni project iliyokusudiwa tangu awaki na upenyo wao wa kuanzisha haya maandamano ilikuwa ni finance bill.
Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.

Haiwezikani vijana kaunti zote iwe moto moto afu mtu usubilie mpaka wavamie BUNGE
 
nadhani yeye mwenyewe ana kiri walikua na taarifa za kutosha kuhuhusu kasumba hii,

bilashaka utashi wa kisiasa uliopitiliza, alokua nao Ruto, na Imani kubwa alikua nayo kwa vijana kwamba wanamkubali sana na hawez kumbadilikia ghafla hivyo ndivyo hasa vimemponza...

aliona huenda watu wa intelligence wanampotosha kumbe ni kweli vijana wanamdindia mipango yake 🐒
 
Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.

Haiwezikani vijana kaunti zote iwe moto moto afu mtu usubilie mpaka wavamie BUNGE
Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.

View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2
 
kwahiyo muerevu na anaejielewa anaweza kuvunja bunge alilojenga kwa kodi yake mwenyewe kisha tena aje alijenge kwa nguvu, hali na mali yake mwenyewe? kwamba hiyo ndio IQ kubwa 🤣

kwamba muerevu na anae jielewa ameona kuna dosari na kasoro kwenye muswada wa fedha, akashinikiza vifungu vya kodi, ushuru na tozo vibadilishwa, lakini muhusika akaufuta muswada wote kama ulivyo kwa kuwasikiliza hao unaowaita waerevu wanao jielewa 🐒

sasa,
muerevu ana anaejielewa,
anavunja maduka, ma super market, majumba ya wabunge, taa za barabarani, minara ya kumbukumbu na kuchoma majengo ya Serikali ambayo yeye mwenyewe ndie atakahusika kuyajenga tena kwa gharama kubwa. huyu ndio ana IQ kubwa kweli 🤣

mie nadhani ni athari za mihemko na ghadhabu zisizo na tija zinakuchochea uone jambo hili kama unavyoliona...

kusifia uharibifu wakati mwingine ni hali zilizopo ndani ya mioyo na fikra zetu.
Mwenyezi Mungu ahuishe na kutuponya na hali hiyo, tuishi kwa Amani 🐒
Tatizo lilianzia wakubwa walipodhani Gen Z ni comedians.

Mh Ruto alichelewa kuchukua hatua mapema.
Na madogo wale sio kwamba waliamka tu na kuanza kuandamana rahasha.Ilipita midaharo kadha wa kadha,na baadhi ya taasisi wakaliongelea,na isitoshe ikawa habari kubwa na maangalizo rukuki.ila wahusika wakiziba masikio.

Na ilifikia wabunge wakawa wanatumiwa kumbe na katika vipindi vya Runinga zilipeperushwa malalamiko Yao,ila wakaziba masikio.
Na swala lile haliko kikabila kama zamani,ambapo tungesema Kuna namna.
Kwa jambo lile Gen Z hawana itikadi,Wala ukabila.Hivyo mh alichukua hatua baada ya kukosa namna.Hivyo wameona kumbe hana maana mpaka DAMU imwagike ndo achukue hatua.

BUNGE lilipitisha mswaada wa kuruhusu Jeshi kushika doria,je huwezi jiuliza Kwa nn Mahakama imeizuia sheria hiyo kutumika na Jeshi hawaruhusiwi kuingia mtaani na imekuwa hivyo.
Jiulize Kwanza,je Mahakama nayo ni Gen Z au Serikali ndo inatakiwa kujitafakali.

Gen Z wako sahihi ilitakiwa wasikilizwe tangu mwanzoni kabla hawajaingia mtaani.🙏
 
Upo sahihi, Intelligensia kuna mahala either ilichemka au ilipuuza kimkakati ili hayo yote yatokee. Ukimsikiliza Erick Omondi hapa, ndiyo utajua hii game ilishakuwa planned kitambo na finance bill was just an entry point. Msikilize vizuri, kuna mahali amesema tutawatoa kabla ya 2027.

View: https://youtu.be/bI-KTmZGz14?si=fUijLFC1ItNza0P2

kwamba kuna anaweza kuongoza nchi pasipo kutoza ushuru?

hata uchaguzi uitishwe leo, mkuu wa nchi alieko madarakani ndie atakaetwaa tena kiti hicho, maana ndie pekee anawaza pata kuchaguliwa maeneo yote kenya...

hawa wengine moja mwisho wake ni nyeri pekeyake, yule mwingine ukambani tu, na huyu mwingine ni wa hapo kisumu na maeneo jirani tu 🐒

wabunge wengine,
ukiachilia kuvote Yes kwenye finance bill, wamejenga, mashule, mahospitali, Baraka n.k hivyo wengi wao pia watarejea mjengoni hata kama uchaguzi utaitishwa leo...

masula ya mitandaoni na kwenye media, ni tofauti kabisa na field. Ni kama Tz tu watu wanajimwambafai mitandaoni, wakifika field utawaonea huruma, na ndio chanzo cha mihemko na matusi kuwadhihaki wananchi wasio wafahamu 🤣

kama hilo halitoshi,
huyo Eric Uchaguzi ukija akagombee kama atashinda 🤣
 
Lakini mkuu,unajua Omondi kuzungu

Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.
Sema tu sikuichukua ile clip ningeipandisha hapa.Kiufupi,jamaa anajikaanga mwenyewe.
Ukimsikiliza Omondi ana hoja Tena nzito.Ambazo zinatakiwa zifanyiwe kazi.
 
Safi xnaa wakati wanaanza maandamano wakenya mlituona watz mafala na waoga saiv mnaanza lalamika lalamika
 
Wewe kweli maiti Kenya vyama vinabadilika ukiitishwa uchaguzi ruto Hana chake hapo atapata kura mbili tu yake na ya like wake
 
Tatizo lilianzia wakubwa walipodhani Gen Z ni comedians.

Mh Ruto alichelewa kuchukua hatua mapema.
Na madogo wale sio kwamba waliamka tu na kuanza kuandamana rahasha.Ilipita midaharo kadha wa kadha,na baadhi ya taasisi wakaliongelea,na isitoshe ikawa habari kubwa na maangalizo rukuki.ila wahusika wakiziba masikio.

Na ilifikia wabunge wakawa wanatumiwa kumbe na katika vipindi vya Runinga zilipeperushwa malalamiko Yao,ila wakaziba masikio.
Na swala lile haliko kikabila kama zamani,ambapo tungesema Kuna namna.
Kwa jambo lile Gen Z hawana itikadi,Wala ukabila.Hivyo mh alichukua hatua baada ya kukosa namna.Hivyo wameona kumbe hana maana mpaka DAMU imwagike ndo achukue hatua.

BUNGE lilipitisha mswaada wa kuruhusu Jeshi kushika doria,je huwezi jiuliza Kwa nn Mahakama imeizuia sheria hiyo kutumika na Jeshi hawaruhusiwi kuingia mtaani na imekuwa hivyo.
Jiulize Kwanza,je Mahakama nayo ni Gen Z au Serikali ndo inatakiwa kujitafakali.

Gen Z wako sahihi ilitakiwa wasikilizwe tangu mwanzoni kabla hawajaingia mtaani.🙏
Ruto kuchelewa kuchukua hatua, hilo uko sahihi kabisa nakunga mkono 100%..

hakuna alisema Gen Z hawako sahihi, na Rais mwenyewe alitangaza na kuwapongeza kwa kujitambua kwao na akaomba akutane nao..

Na for your information,
wameskizwa na Rais ameondoa muswada wa fedha waloulalamikia bungeni 🐒

wasikilizwa nini tena ambacho hawakukidai? kufanya hivyo hiv sasa ni kuwasikiliza walio nyuma yao kisiasa na si vinginevyo...

na hicho kinakwenda kuharibu ustawi wa amani ya Taifa la Kenya..

katika hali ya dharura hatuendi mahakamani, je mahakama ikisema shauri lenu tutaskiza mwezi ujao itakuaje 🐒

bado hakuna dharura ya kutisha ila kuna hatari ya dharura ya kutisha na mahakama hawezi kua sehemu ya kulaumiwa kitisho kikiingia 🐒
 
Wewe kweli maiti Kenya vyama vinabadilika ukiitishwa uchaguzi ruti Hana chake hapo atapata kura mbili tu yake na ya like wake
mimi nimetaja Ruto atashinda, haya sema wew nani atashinda nikwambie atapata kura ngapi kutoka wap 🐒
 
Safi xnaa wakati wanaanza maandamano wakenya mlituona watz mafala na waoga saiv mnaanza lalamika lalamika
nchi yao wanaiharibu kizembe mno na hakuna atakae faidika bali wao wenyewe kujipa mateso zaidi 🐒
 
Lakini mkuu,unajua Omondi kuzungu

Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.
Sema tu sikuichukua ile clip ningeipandisha hapa.Kiufupi,jamaa anajikaanga mwenyewe.
Ukimsikiliza Omondi ana hoja Tena nzito.Ambazo zinatakiwa zifanyiwe kazi.
Katika hoja, Omondi anayo na ni nzuri sana. Pamoja na uzuri wa hoja, inadhihirisha kwamba tayari kulikua na mikakati imeshatengenezwa ya watu kuitangaliza Youth Generation na hapo vyombo vya usalama vilipaswa kuwa vimeshanusa na kum brief rais kuhusiana na hali ilivyo, pia huenda vilim brief lakini washauri wa rais walimshauri otherwise, na hapo ndipo unamuina Rigathi Gachagua analalamika kuwa amewekwa kando, na wala hamlaumu Ruto isipokuwa washauri wa rais ambao wengine ni wale walikuwa anawapinga wakati wa kampeni
 
nchi yao wanaiharibu kizembe mno na hakuna atakae faidika bali wao wenyewe kujipa mateso zaidi 🐒
Afu hao wengi ni jobless ndio maana wamevunja mpk maduka na kuiba vitu ,,na vijana wengi hata hapa tz ndio mawazo yao
 
Lakini mkuu,unajua Omondi kuzungu

Nikweli,ila Kuna clip Mh Ruto aliwaambia,wamngoje mpaka 2027,na Bado atakuwa amejipanga kisawasawa.
Sema tu sikuichukua ile clip ningeipandisha hapa.Kiufupi,jamaa anajikaanga mwenyewe.
Ukimsikiliza Omondi ana hoja Tena nzito.Ambazo zinatakiwa zifanyiwe kazi.
sema tu unamkubali Ormond tu,
but anazungumza mambo ya kawaida sana tangu aanza kuandamana kipindi cha unga bei juu...

ni kweli wamgoje 2027,
na hayupo atampiku kiti cha Urais..

na hata Eric Ormond hiyo 2027 agombee ili alambishwe sakafu vizuri 🐒

hata ashuke malaika Kenya sasa hivi hawez ongoza nchi ile bila kutoza ushuru.

maana yake wanatangeneza nchi ambayo Ikitokea Raisi anatoza ushuru tu basi vijana wanaandamana wana mtoa,🤣
 
Back
Top Bottom