Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Tatizo Mh Ruto alichelewa,ilitakiwa kusoma upepo mapema.Intelejinsia yake Kuna mahali waliteleza.Gen Z ilikuwa moja kwenye kuupinga mswada, lakini kwenye hili la “Ruto Must Go” Gen Z ilishagawanyika, kwenye ‘Ruto Must Go’ hiyo ni project iliyokusudiwa tangu awaki na upenyo wao wa kuanzisha haya maandamano ilikuwa ni finance bill.
Haiwezikani vijana kaunti zote iwe moto moto afu mtu usubilie mpaka wavamie BUNGE